Mkomoe mwanga

Mkomoe mwanga

Leo nafundisha live...!!! Kwa wale wasiopenda natanguliza kuomba radhi TUVUMILIANE kuna baadhi wanaohangaishwa yatawafaa

Wanga ni watu hovyo sana hukufanyia mambo ya kukuchosha mwili na vitu vya ajabu ajabu bila faida yoyote
Hivyo basi mtu wa kaliba naye hana budi kupata shida kidogo pale inapobidi

Tafuta ufanikiwe kupata mchanga wa nyayo zake akiwa peku,tafuta ndulele tatu jivu pilipili kichaa au ----- na kipande kidogo cha kaniki....changanya vyote ikibidi twanga ongeza na matone kadhaa ya damu yako kisha funga kaza sana kwenye kipande cha kaniki
1. Sigina na kisigino huku ukinuizia kama unataka miguu imuume
2. Choma na sindano ukitaka miguu ichome chome
3. Banika motoni ukitaka miguu yake iwake moto
4. Kaanga kwenye kikaango kikavu ukitaka miguu imuwashe
Fanya hivi kama unaamini hizi mambo na una roho mbaya ya visasi...kumbuka kuna hukumu siku ya kiama
Sihusiki na matokeo ya matendo yako
ndo naiona leo. asante. nimependa hapo ulipojitoa kwamba huhusiki
 
Mshana jr shennnzz veve

Mi nataka nijue namna ya kumuona mtu ambaye kaja usiku kimazingara wanasema ati kuna jinsi ya kufanya ukamuona jr mshana
 
kuna thred mshana ulielezea jinsi ya kuona wachawi, nikumbushe
 
Fanya hivi kama unaamini hizi mambo na una roho mbaya ya visasi...kumbuka kuna hukumu siku ya kiama
Sihusiki na matokeo ya matendo yako
Siku zote huwa napita kimya kimya bila kelele. Ila ya leo nimecheka sana, hasa kwenye *****kumbuka.....**** hivyo kila mtu na afanye kwa hasara ya roho yake mwenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom