Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,820
- 59,407
Bishanga sio?
Nanii abaki na nani?!
Alafu hivi kumbe na wewe una mbaya wako?!Unamjua?!
Bishanga sio?
Yule wa siku zote.
Yule wa siku zote.
lakini mke wa mtu ni mtamu kuliko wa kwako :happy:
Za mwizi hizo. . .na adhabu hapo hapo!!
Pole yake.
mtukomage kabisa.....tukiwaambia tuna watu wetu mnatung'ang'ania.....haya sasa.....
Kung'ang'aniwa sio kubakwa. . .bado mtu anaweza kusema HAPANA.
Halafu iweje sasa wanaume wakiacha kufanya kazi zao za msingi kabisa? Na wanawake wanaotongoza inakuwa vipi? Mjini shida ni hela....huko vijijini shida ni wivu, ushirikina,kukata taamaa ndo maana unaona mtu anavizia mwezake mpaka anamuua. Inasaidia nini sasa baada ya kuua? Kuzuia uroda kuendelea kukawiwa? Chezea siku za kuishi duniani kwa hasara ya nani??!
Lizzy, umenimaliza kabisa!
Jamani waokoeni kwenye visu vya waume zenu!
Hivi una imagine HAWARA yako akipigwa mavisu utumbo utoke nje na wewe unaona?
Au akigeuzwa nyuma mbele yako?
Unaweza kuepusha hayo yote kwa kusema NO
pori anasemaje?
Anasema haniogopi?
Ggggrrrrrrrrrhhhhh