Mkuu Zanta lile azimio moja kwa moja linamwingiza mkombozi pia kwasababu wamesema na Stanbic na benki nyingine zote zilizopokea pesa ya escrow. Kilichosababisha waseme hivyo ni kwasababu pesa zilipotoka BOT zote zilienda kwanza Stanbic halafu zikaanza kuenda kwenye mabenki mengine. Zile za rugemalila zikaenda mkombozi lakini kuna zingine zimepelekwa kwenye mabenki kama bank of India na nyinginezo ambazo taarifa zake zinatakiwa kutafutwa zaidi.Mkombozi nao walitoa 3b cash. kwa nini hawajatajwa?
Mkuu kibona hapa nimekupata vilivyo sababu ya mkombozi kuachwa thanksMkuu Zanta lile azimio moja kwa moja linamwingiza mkombozi pia kwasababu woamesema na Stanbic na benki nyingine zote zilizopokea pesa ya escrow. Kilichosababisha waseme hivyo ni kwasababu pesa zilipotoka BOT zote zilienda kwanza Stanbic halafu zikaanza kuenda kwenye mabenki mengine. Zile za rugemalila zikaenda imkombozi lakini kuna zingine zimepelekwa kwenye mabenki
kama bank of India na nyinginezo ambazo taarifa zake zinatakiwa kutafutwa zaidi.
Mbona wanasema kuna cash kama 3b ilitoka?Mkombozi walilipa hela zote kwa TISS tena kwa kuweka details za mlipwaji na account namba ndiyo maana waliolipwa kupitia Mkombozi wamefahamika. Inaonekana Stanbic mzigo ulitolewa keshi money watu wakagawana kwenye magunia wakasepa, ndiyo maana majina ya waliolipwa kupitia Stanbic mpaka sasa whayajafahamika.
Kwenye press statement ya Mkombozi wanasema hiyo b3.3 iliingzwa kwenye accounts za watu 6 lakini hao hawajatajwa ila watajulikana tuMbona wanasema kuna cash kama 3b ilitoka?
Wakuu katika maazimio ya bunge , wamesema kua Stanbik bank itangazwe kua ni bank ya kutakatisha pesa, naomba kuuliza kwa nini mkombozi bank hawajaitaja? Kuna nini hapa? Nini tofauti ya alichofanya stanbink bank na Mkombozi bank?
Mkombozi walilipa hela zote kwa TISS tena kwa kuweka details za mlipwaji na account namba ndiyo maana waliolipwa kupitia Mkombozi wamefahamika. Inaonekana Stanbic mzigo ulitolewa keshi money watu wakagawana kwenye magunia wakasepa, ndiyo maana majina ya waliolipwa kupitia Stanbic mpaka sasa hayajafahamika.
mkombozi walitoa kwa mkupuo tsh 3.3bil. lakini hata hivyo ni bank takatifu inayotumika kwa jina la mungu. sio ya kaisari hiyo.Wakuu katika maazimio ya bunge , wamesema kua Stanbik bank itangazwe kua ni bank ya kutakatisha pesa, naomba kuuliza kwa nini mkombozi bank hawajaitaja? Kuna nini hapa? Nini tofauti ya alichofanya stanbink bank na Mkombozi bank?
Huko Stanbib zilitoka 73b cash,yaani not za elfu kumi kumi milioni 7.3 ambazo uzito wake wake ni karibia tani tano! hapo cjui walitumia fuso kubeba?
Mkuu Zanta lile azimio moja kwa moja linamwingiza mkombozi pia kwasababu wamesema na Stanbic na benki nyingine zote zilizopokea pesa ya escrow. Kilichosababisha waseme hivyo ni kwasababu pesa zilipotoka BOT zote zilienda kwanza Stanbic halafu zikaanza kuenda kwenye mabenki mengine. Zile za rugemalila zikaenda mkombozi lakini kuna zingine zimepelekwa kwenye mabenki kama bank of India na nyinginezo ambazo taarifa zake zinatakiwa kutafutwa zaidi.
Mkuu kibona hapa nimekupata vilivyo sababu ya mkombozi kuachwa thanks
Pesa ya Mkombozi ililipiwa Kodi Bilioni 38 ya Stanbic Kodi 0
kutokana na mambo kama haya ya makosa yaleyale kuwa interpreted tofauti ndio sababu nchi za wenzetu huwa wanafanya review after the outcome of a political wrangle hili kuweza kuboresha maamuzi ya baadae whilst handling similar future situation.
Sisi atuna utaratibu huo lakini nadhani the whole thing was handled wrongly from the beginning. From get go there was a political influence mistrust from both parties and in the end even the cag report failed to elaborate clearly on what transpired and concern of the matter if the funds belonged to the government or the benefited parties? Thus allowing the pac to be all over due to the fact the report itself lacked clear interpretation.
Kamati ya bunge imetoa mapendekezo ambayo yana mashaka to an extent fuelled with adversarial politics: Both party competition and personal vendetta towards the accused (a reason enough not to use any more parliamentary committees in the future to decide the fate of other politicians they themselves have competing views with) na hii sio mara ya kwanza kutokea ripoti ya mwakyembe ilileta mzozo, ripoti ya kamati na nishati na madini ilileta mzozo na watu kufukuzwa kama akina kagasheki, ripoti sijui gani ile iliyowang'oa akina omary nundu and the list goes on. Huu utaratibu aufai na umekuwa ukitumika kusukuma agenda za kimaslahi au kulipiza kisasi kama report ya pac ilivyodhihirisha; bila ya kusahau ripoti ya cag kushindwa kuja na majibu sahihi kwa sababu ilikuwa out of depth kwenye maswala ya sheria.
Kitu ambacho nimefatilia ripoti nyingi za nchi za wenzetu zinafanywa na independent bodies kutoka sector ya mahakama kwa sababu matendo mengi ya serikari yanamwongozo wa kisheria za bunge na mahakama ndio yenye uwezo fasaha wa ku-interpret sheria. Ndio maana hata cag kashindwa kuja na hitimisho lisilo na shaka la kisheria kuhusu mzozo karudi tu na mambo ya kubahatisha bahatisha lakini hakuna usahihi wa nini haswa kilichotokea kisheria na kama hela ni ya serikari au ya wabia.
In the future political wrangles inabidi zitafutiwe independent bodies tena ambazo raisi anaunda kama alivyofanya kwenye kamati ya katiba kuchunguza. Maana sasa watu wamekuwa awaaminiki na too much personal interest kama ilivyojiyokeza hapa na kwengine nyuma. Ni bora ziundwe tume ambazo members are notified unexpectedly to uncover the truth na bunge lijadili kwa mwongozo huo kamati za bunge zimekuwa za kihuni sana na aziaminiki tena kwa sasa kama watenda haki.
Kwa hiyo huko inawezekana ndiko walikolipiwa wale wa magogoni, Waziri Muhongo, Pinda, Nduru, Maswi na wengine ambao majina yao hayajaonekana lakini wamehusika kuzitafuna hizi fedha