Mkombozi bank vs Stanbink bank

Mkombozi bank vs Stanbink bank

Zanta

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2011
Posts
2,028
Reaction score
796
Wakuu katika maazimio ya bunge , wamesema kua Stanbik bank itangazwe kua ni bank ya kutakatisha pesa, naomba kuuliza kwa nini mkombozi bank hawajaitaja? Kuna nini hapa? Nini tofauti ya alichofanya stanbink bank na Mkombozi bank?
 
Mkombozi nao walitoa 3b cash. kwa nini hawajatajwa?
 
Wakuu katika maazimio ya bunge , wamesema kua Stanbik bank itangazwe kua ni bank ya kutakatisha pesa, naomba kuuliza kwa nini mkombozi bank hawajaitaja? Kuna nini hapa? Nini tofauti ya alichofanya stanbink bank na Mkombozi bank?

Hata mimi nilishangazwa....
 
sijaona mkuu hebu nifafanulie, inasemaje?

pitia hapa mkuu https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/765997-mkombozi-bank-miamala-iliyofanywa-kupitia-akaunti-ya-vip-engineering-ilikuwa-halali-2.html#post11263672
 
nadhani hela zilitoka BOT zikaenda STANBIC then zikiwa STANBIC Rugemalila akalipwa na pia watu wakenda na MABEGI kuchukua hela kinyume cha taratibu na sheria kuwa hela lazima zipigwe kwa TISS na ndipo mwenye akaunti anaeza kuchukua hela Chash kutoka akaunti yake, kama alivyofanya Mkombozi, wote waliopewa hela ni kwenye akaunti zao, ila zile za STANBIC ni CASH an dnio maana majina hatuyaoni.
 
Mkombozi walilipa hela zote kwa TISS tena kwa kuweka details za mlipwaji na account namba ndiyo maana waliolipwa kupitia Mkombozi wamefahamika. Inaonekana Stanbic mzigo ulitolewa keshi money watu wakagawana kwenye magunia wakasepa, ndiyo maana majina ya waliolipwa kupitia Stanbic mpaka sasa hayajafahamika.
 
Inaonekana kunawatu bado hawajaelewa sakata la wizi huu wa escrol kibanga na lusa endelea kuwajuza kwa ufupi stanbic walifanya uchafu mtupu na ndo kodi tunayoiongelea set amelipwa na kutoroka pia aliwalipa watu majina ayaonekani
 
nadhani hela zilitoka BOT zikaenda STANBIC then zikiwa STANBIC Rugemalila akalipwa na pia watu wakenda na MABEGI kuchukua hela kinyume cha taratibu na sheria kuwa hela lazima zipigwe kwa TISS na ndipo mwenye akaunti anaeza kuchukua hela Chash kutoka akaunti yake, kama alivyofanya Mkombozi, wote waliopewa hela ni kwenye akaunti zao, ila zile za STANBIC ni CASH an dnio maana majina hatuyaoni.
Naamini zile bilioni 73 zilizotoka kwa cash within 2 days,kwenye viroba na magunia ya lumbesa, pale Stanbic bila kudislose, majina ya walipwaji, ambayo ni ukiukwaji wa hali ya juu wa taratibu za BoT, ambao hauruhusu transaction yoyote inayozidi kuwithdraw more than 10 million in cash.

Hiyo ndiyo sababu iliyopelekea, Mwenyekiti wa PAC , Zitto Kabwe, alielezee tukio hilo kuwa linawezekana tu kutokea kwenye nchi ambayo mifumo yake ya kiutawala,itakuwa imecollapse, kama vile Somalia.

Sasa hapo ndipo linapokuja swali kubwa kuwa, ni kitu gani kilichofanya vyombo vyote vya ulinzi na usalama, vishikwe na ganzi na kigugumizi katika kulidhibiti tukio hilo siku hizo 2, kama siyo kwa the highest office in our country, 'kulibariki ' tukio hilo?!

Kwa kuwa hakuna siri inayoweza kudumu, inayoimvolve mtu zaidi ya mmoja, naamini kabisa ipo siku, hili suala la ubebaji wa noti kwa viroba na magunia ya lumbesa pale Stanbic, ni lazima one day litakuja bumbuluka tu lazima!
 
Wakuu katika maazimio ya bunge , wamesema kua Stanbik bank itangazwe kua ni bank ya kutakatisha pesa, naomba kuuliza kwa nini mkombozi bank hawajaitaja? Kuna nini hapa? Nini tofauti ya alichofanya stanbink bank na Mkombozi bank?

Fungua blog hii hapa chini kwani kuna orodha ya maazimio yote je hiyo Mkombozi Bank haijatajwa?
HABARI24 BLOG: FILAMU YA ESCROW YAMALIZIKA,HAYA NDIO MAAZIMIO MAPYA NANE YA BUNGE

PITIA MAAZIMIO MAPYA WALIYOKUBALIANA WABUNGE KUHUSU SAKATA LA FEDHA ZA AKAUNTI YA ESCROW | BUKOBAWADAU
 
Ile sakata la mwanasheria kijana wa tanesco aliyeandika barua ya kuacha kazi inasemekana kunamtu alimlazimisha aandike barua hiyo na ni mjumbe wa bodi ya tanesco ni nani huyo mtu naomba mnijuze wakubwa
 
Huko Stanbib zilitoka 73b cash,yaani not za elfu kumi kumi milioni 7.3 ambazo uzito wake wake ni karibia tani tano! hapo cjui walitumia fuso kubeba?

kwenye press release statement ya Mkombozi wanasema walipokea TISS ya 73.3 bil toka stanbic

Pac wameingizwa chaka na Pccb

Hivi Kama PAP anamiliki shares 2,500 kwa nini wameshindwa kutaja wamiliki wa Simba Trust anayemiliki shares 2,500 pia Kama mmiliki mwenza
 
Mkombozi walilipa hela zote kwa TISS tena kwa kuweka details za mlipwaji na account namba ndiyo maana waliolipwa kupitia Mkombozi wamefahamika. Inaonekana Stanbic mzigo ulitolewa keshi money watu wakagawana kwenye magunia wakasepa, ndiyo maana majina ya waliolipwa kupitia Stanbic mpaka sasa hayajafahamika.

Kwa hiyo huko inawezekana ndiko walikolipiwa wale wa magogoni, Waziri Muhongo, Pinda, Nduru, Maswi na wengine ambao majina yao hayajaonekana lakini wamehusika kuzitafuna hizi fedha
 
Kwa hiyo huko inawezekana ndiko walikolipiwa wale wa magogoni, Waziri Muhongo, Pinda, Nduru, Maswi na wengine ambao majina yao hayajaonekana lakini wamehusika kuzitafuna hizi fedha

ambacho kinashangaza ni kuwa Mkombozi Bank wanakiri kupokea TISS ya Tshs 73Bn na $22m toka account ya PAP Stanbic Bank kuingia account ya VIP Mkombozi Bank .... then malipo mbali mbali yalifanyika katika accounts mbali mbali na records zipo .... sasa hii issue ya lumbesa viroba Stanbic ni kwa hela zipi?..... au kuna hela za ziada ya hizo?
 
nadhani hela zilitoka BOT zikaenda STANBIC then zikiwa STANBIC Rugemalila akalipwa na pia watu wakenda na MABEGI kuchukua hela kinyume cha taratibu na sheria kuwa hela lazima zipigwe kwa TISS na ndipo mwenye akaunti anaeza kuchukua hela Chash kutoka akaunti yake, kama alivyofanya Mkombozi, wote waliopewa hela ni kwenye akaunti zao, ila zile za STANBIC ni CASH an dnio maana majina hatuyaoni.

asante SANA MKUU .
 
Ni vigumu kuulewa ukweli wa mkombozi kama umetanguliza hisia na chuki za kidini
 
Back
Top Bottom