Mkombozi Bank;Ni sahihi kutumia Mpemba ktk tangazo la biashara ?

Hivi wakristo nao wangekuwa na chuki na ubaguzi kama "mpemba" ingekuwaje? BADILIKENI!!! achen mindset za babu zenu
 
Mkopaji atalipa amount borrowed plus a share or extra monies paid. Hiyo ya kuzaa sioni relevance yake hapa. sorry.

Haya sasa ngoja nikupe na 'aya' tufunge mjadala:
" Enyi mlioamini (Waislaam) ! Msile riba mkizidisha juu kwa juu, na mcheni Mwenyezi Mungu ili mpata kufanikiwa " Qur'an: 3:130.
Sasa umeona hicho kinachoongezwa juu kwa juu, kuwa ni riba na si faida !
 
Kuna tangazo la biashara linaloelezea tawi lao jipya la Kariakoo, katika kuhamasisha wametumia dhana ya mpemba kufikisha ujumbe. Naamini hawakushauri vizuri, kwani hakuna mpemba ataweka pesa zake huko ! Kwani hawako tayari kutangaza vita na Mwenyezi Mungu na Mtume s.a.w

Tulia ndugu,unachoandika unakijua,unalazimisha kutojua,mbona voda wameweka wapemba ,wamasai n.k.badala ya kujiona mmependelewa,unaleta hoja mgando.Angewekwa nguruwe vipi?Huna uwezo wa kuwa na hata akaunti.Tulia,acha utoto
 
We ndo hujatulia, umeshindwa kuacha nafasi neno hadi neno kwa haraka !
 
Haya sasa ngoja nikupe na 'aya' tufunge mjadala:
" Enyi mlioamini (Waislaam) ! Msile riba mkizidisha juu kwa juu, na mcheni Mwenyezi Mungu ili mpata kufanikiwa " Qur'an: 3:130.
Sasa umeona hicho kinachoongezwa juu kwa juu, kuwa ni riba na si faida !

Discriptive, again!
 
Kuna tangazo la biashara linaloelezea tawi lao jipya la Kariakoo, katika kuhamasisha wametumia dhana ya mpemba kufikisha ujumbe. Naamini hawakushauri vizuri, kwani hakuna mpemba ataweka pesa zake huko ! Kwani hawako tayari kutangaza vita na Mwenyezi Mungu na Mtume s.a.w

Una kimo gani wewe? nilifundishwa kuwa wakati flani akili ya mtu huendana na kimo chake!
 
Haya sasa ngoja nikupe na 'aya' tufunge mjadala:
" Enyi mlioamini (Waislaam) ! Msile riba mkizidisha juu kwa juu, na mcheni Mwenyezi Mungu ili mpata kufanikiwa " Qur'an: 3:130.
Sasa umeona hicho kinachoongezwa juu kwa juu, kuwa ni riba na si faida !

Haya mambo haya! sijui lakini, maisha ni zaidi ya dini wewe, kama unaishi kwa namna hyo! duuh LAUGHING OUT LOUDLY!
 
Discriptive, again!
kazi ni kwako, wewe sio miongoni mwa wanaoamini !
Uzuri wa Qur'an, kuna aya za watu wote (huanza kwa kusema: Enyi watu !) na kwa Waislaam tu (huanza kwa kusema:Enyi mlioamini !)
Sasa irudie hiyo aya uone kama inakuhusu ! Yaaani raha !
 
...kwamba nimeoteshwa mgawane faida au hasara?
 
Wewe huamini ! Kwa maana nyingine we ni Kafiri, hivyo endeleeni kupigiana mnada wa mali za walioshindwa kulipa ! Madhalimu wakubwa !
 
Kuna tangazo la biashara linaloelezea tawi lao jipya la Kariakoo, katika kuhamasisha wametumia dhana ya mpemba kufikisha ujumbe. Naamini hawakushauri vizuri, kwani hakuna mpemba ataweka pesa zake huko ! Kwani hawako tayari kutangaza vita na Mwenyezi Mungu na Mtume s.a.w

Udini utakumaliza wewe. Uislamu ni dini ya mwilini ndo maana mnapambana kimwili, mnachoma makanisa, mnalipua watu kwa mabomu n.k. sana sana mkiingia kiroho mnaishia kuwaroga watu kwa kutumia majini. Hakika nikuambie kuwa bila kumwamini BWANA YESU (MUNGU mwenye nguvu, Mfalme wa Wafalme na BWANA wa amani) utakuja kujutua huko mbele ya safari maana mbinguni huendi.
 
Aaaah ! Wacha kunidanganya bana ! Mungu gani mwenye nguvu halafu ana kamatwa na kupigwa ?
"Na wale watu waliokuwa wakimshika Yesu walimfanyia dhihaka, wakampiga. Wakamfunika macho, kisha wakamuuliza uliza wakisema: tabiri, ni nani aliyekupiga !? Wakamtolea maneno mengine mengi ya kumtukana. LUKA:22:63-65.
 
Udini utakumaliza wewe. Uislamu ni dini ya mwilini ndo maana mnapambana kimwili, mnachoma makanisa, mnalipua watu kwa mabomu n.k. sana sana mkiingia kiroho mnaishia kuwaroga watu kwa kutumia majini. Hakika nikuambie kuwa bila kumwamini BWANA YESU (MUNGU mwenye nguvu, Mfalme wa Wafalme na BWANA wa amani) utakuja kujutua huko mbele ya safari maana mbinguni huendi.

Kwa yeye na imani yake na dini yake UKRISTO ni dhambi inayostahili hukumu ya kifo.
 
Wewe adhabu yako ni kupuuzwa !
dondoo hazijibiki?

wajiona shujaa mwenyewe!!! hahahaha! ...

vita walitangaza waliokutangualia miaka kenda iliyopita wakafa mpaka leo hii uislam upo na utaendelea kuwepo
hata mawe yalikuepo kabla ya usilamu na yataendelea kuepo tu mpaka itakapotokea supernova na kupukutisha kila kitu kwene sayari hii. so sio ishu sana maana hata huyo aliouanzisha naye keshafwariki. nothing special.tbe.
 
Ally Kombo ana laana ya ubaguzi, chuki, uchonganishi na hii yote ni frustration ya failure ya ndoto za maisha yake!!!

Kila kukicha yuko bize kutafuta wapi achonganishe au avunje amani za watu............... kama kibela hataenda hiyo benki, basi tangazo lenyewe litakua limeshindwa kushawishi wapemba wajiunge, si lazima kila kitu kije na ushenzi wa kugombanisha watu tu kama mpuuzi ally kombo anavyolazimisha au kufikirisha akili yake
mbona tangazo lile la crdb sijasikia wachagga wakilalamika?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom