Mkombozi Bank;Ni sahihi kutumia Mpemba ktk tangazo la biashara ?

kuna tangazo la biashara linaloelezea tawi lao jipya la kariakoo, katika kuhamasisha wametumia dhana ya mpemba kufikisha ujumbe. Naamini hawakushauri vizuri, kwani hakuna mpemba ataweka pesa zake huko ! Kwani hawako tayari kutangaza vita na mwenyezi mungu na mtume s.a.w

hii ni post ya ubaguzi wa kidini. Inachochea chuki.
 
Hoyce Tem ainisha basi hizo chuki na uchochezi ? Hivi unaweza kufanya biashara ya Rozari Msikitini kwa kuwa tu, umeona Waislaam wanabeba 'Tasbih' ?
 
mtazidi kufa kwa ujinga wenu
angalia najiulize waarabu wanawake wapi fedha zao hasa wale waliowekeza ulaya na marekani?
kuna bak special za waislamu pekee? ach hizo bank hazina dini.
ndo maana akili haziko kwa mkichwa hata performance mashuleni kwneu huko ni duni
amkeni
 
Hoyce Tem ainisha basi hizo chuki na uchochezi ? Hivi unaweza kufanya biashara ya Rozari Msikitini kwa kuwa tu, umeona Waislaam wanabeba 'Tasbih' ?
kama mkombozi bank wanatoa mikopo ya riba nafuu ba nina uhakika wapo waislam wengi tu wana account zao pale...nasema hivyo kwa sababu kuna waislam wengi tu tunaoishi nao bado wanachukua mikopo yenye riba kutoka kwenye mabenki yasiyo na mfumo wa kiislaam...fanya utafiti wako mwenyewe uone wafanyabiashara wa kiislaam (wakubwa/wadogo) wanachukua mikopo kutoka kwenye bank zipi...hayo mawazo mgando kama yako ya kufikiri kila kitu kilichoanzishwa na kanisa ni haram kwa waislam hawana waislam wote ndiyo maana wapo waislam wengi tu wanawapeleka watoto wao kwenye shule zilizoanzishwa na kanisa tena zenye masharti magumu kupita haya ya riba kama vile kutokufunga wakati wa mwezi mtukufu...siyo kuuza rozari msikitini huko? mkuu sisi sote ni watanzania na usipende sana kueleza mawazo yako ya kibaguzi na kuyafanya ni ya waislam wote maana tupo wengi tu humu wenye ndugu wa karibu wa kiislaam na tunshirikiana nao katika mambo mengi tu ambayo wewe unayaita 'kuuza rozari msikitini'
 
Wako Waislaam ambao hawafungi, hawaswali, wana mahawara, wanakunywa pombe nk, hii si hoja ! Mie nimejaribu kuonyesha kuwa " Idea ya tangazo" haiko sawa ! Segment iliyolengwa haiwezi kuleta tija. Hebu jaribu kajadili hapo kama una weledi wa ''masoko na matangazo''
 
soma vizuri post yako ya kwanza iiyoanzisha hii thread...ulikuwa na maana gani uliposema mpemba/muislam kuwekeza kwenye hii bank ni sawasawa na kuanzisha vita na s.a.w? mimi naona tangazo liko ok tu kama vile wanavyotumika wahindi, wasukuma, wachaga,wakurya kwenye matangazo mbalimbali...lengo ni kuhamasisha watanzania wote siyo kabila husika ndiyo maana nikasema hata wapemba/waislam watakuwa na account zao pale kitu ambacho umesema ni sawasawa na kuanzisha vita na s.a.w kwenye post yako ya kwanza...!
 
Kuna tangazo la biashara linaloelezea tawi lao jipya la Kariakoo, katika kuhamasisha wametumia dhana ya mpemba kufikisha ujumbe. Naamini hawakushauri vizuri, kwani hakuna mpemba ataweka pesa zake huko ! Kwani hawako tayari kutangaza vita na Mwenyezi Mungu na Mtume s.a.w

  • hivi islamic banking yenu ilifikia wapi? au sote tumekubali kuwa wala kharam? unaeza kunipa takwimu zozote za wasilamu wanaotumia islamic banking, if it exists at all?
  • halafu kwanini iwe vita na allah + mohamed na sio allah+younus au allah+daoud, kuna nini hapa kwa mohamed? hebu tujuze
  • mie mpemba na nilishatangaza vita na mola wenu na mtume wenu na hadi leo nadunda tu
  • karibu tuimalizie weekend leo, mvinyo + kitimoto on me.
 
Wewe adhabu yako ni kupuuzwa !
 
Qur'an haijawahi kupitwa na wkati na haitapitwa na wakati, ndo maana Bank kubwa kama HBC inafuata mfumo wa Islamic Banking mfumo wa mika 1,600 !
Kupitia "aya 2:275, na 2:278." Mwenyezi Mungu amekataza riba na ameruhusu bishara ! Sasa unaweza kueleza tofauti ya riba na bishara ?

Hapo kwenye red ulimaanisha HSBC? Kama jibu ni yes, basi hoja yako is not quite right. Ziko bank nyingi na kubwa zenye "Islamic banking' kama product. Mfano ni hiyo HSBC, NatWest, NBC (TZ), KCB (Kenya) etc etc. Hivyo mteja anakuwa na uhuru wa kuchagua ama Islamic banking au conventional banking. Lakini pia ziko bank ambazo moja kwa moja wao ni Islamic banking meaning kila service iko under that system. Hapo hakuna choice, mfano ni AMANA bank. Pakistan na hata Egypt ndio utakuta hizi bank za aina hii zaidi.

Now, kuhusu Qur'an niseme hata bible au hata Tora na vitabu vingine vya dini, in general 'believers' wanaamini havipitwi na wakati, na kwa kweli havipitwi na wakati maana sijawahi kusikia dhehebu lolote liki-update kitabu chao. My argument here ni kwamba kila anayesoma hivi vitabu anaweza kuelewa kwa level tofauti. Wapo wanaosoma and take each and eveything to the heart bila ya ku-consider context au hata ku-question anything, lakini pia wapo wanaosoma kwa kuachukulia maanani mazingira ya wakati vitabu hivi vinaandakiwa. Kwa vyovyote vile, makundi haya mawili yatatoka na tafsiri tofauti.

Kwa mfano umetaja hizi aya 2:275, na 2:278." kama reference ya mungu kukataza riba. Binafsi sipingi maana hicho ndicho kilichoandikwa, na mtu yoyote anayejua kusoma ataona hivyo. Swali kwangu nitajiuliza, hili jambo lilianzaje? kulitokea nini au kulikuwa na shida gani hadi mungu akasema hivyo? Kwa nini maandiko "matakatifu" yaseme mtu akitaka mkopo wa kununua mchele ili supply somewhere, basi mkopeshaji asimpe cash bali aende kulipia huo mchele then wagawane faida! Why is that?

Hayo majibu ya kutumia aya a,b,c ...ndiyo wengi wanaita 'discriptive' maana unaeleza "hakuna riba kwa sababu mungu amesema tusitoze riba"! Nani alikutana na mungu akasikia anasema hivyo? When was that? And why? Vitabu hivi vimeandikwa na watu kutokana na masimulizi/ndoto za watu. Kwa mfano inaaminika Muhamad hakuwa amesoma, hivyo maandiko mengi yamepatikana kwa njia ya masimulizi ya ndoto zake, but if he was having nightmares? Na hapa ndio inakuwa muhimu kusoma kwa kuangalia mazingira halisi.
 
Qur'an haijawahi kupitwa na wkati na haitapitwa na wakati, ndo maana Bank kubwa kama HBC inafuata mfumo wa Islamic Banking mfumo wa mika 1,600 !
Kupitia "aya 2:275, na 2:278." Mwenyezi Mungu amekataza riba na ameruhusu bishara ! Sasa unaweza kueleza tofauti ya riba na bishara ?

ally, neno 'riba' halipo kabisa kwenye list ya vocabularies za Islamic banking. Lakini kutokuwepo kwa neno hilo (riba) haimaanishi kuwa lending ni free. Hakuna. Mfano, una tenda ya mchele, na gharama yake ni shs 1,000/= Lakini utawauzia hao waliokupa tenda shs 1,300/=. Hizi detaila zote za gharama na bei ya kununulia unawapa bank. Bank hawatakupa hela cash 1,000/= ila watanunua huo mchele na kukutaka urudishe gharama walizotumia kukamilisha hiyo tenda, na hutorudisha 1,000 waliyokupa ila utarusha 1,000 plus % ya nyongeza iliyopatikana yaani sehemu ile 300 mtagawana na bank.

Kwenye conventional banking watakupa cash shs 1,000/= na kukuambia urudishe shs 1,000= + interest rate. But Under Islamic banking watakupa mchele wa 1,000/= na kukutaka urudushe shs 1,000/= + sehemu ya nyongeza uliyopata (i.e % shs 300/=). Sasa, logically, tofauti iko wapi, zaidi ya matumizi neno 'riba'? Mmoja anasema riba, mwingine anasema tugawane faida.

The devil is in the details!
 
Mwanafunzi umeelewa somo, ila unataka kupanga ubishi !
Margin itabakia kuwa hivyo na Interest hivyo hivyo, ukichelewesha kulipa (interest) inaongezeka, ukipata hasara imekula kwako.
 
Mwanafunzi umeelewa somo, ila unataka kupanga ubishi !
Margin itabakiwa hivyo na Interest hivyo hivyo, ikichelesha inaongezeka, ukipata hasara imekula kwako.

Kwa hiyo unakubali technically riba ipo pote ila 'wording'. Interest rate inabakia the same kwa sababu muda wa kurudisha huwa sio mrefu sana.
 
Ufinyu wa fikra ndo utakaovuruga amani ya nchi hii. na tafsiri kama hizi zikiruhusiwa kuendelea bila shaka kuchapana kuko njenje!!!!!
 
  • hivi islamic banking yenu ilifikia wapi? au sote tumekubali kuwa wala kharam? unaeza kunipa takwimu zozote za wasilamu wanaotumia islamic banking, if it exists at all?
  • halafu kwanini iwe vita na allah + mohamed na sio allah+younus au allah+daoud, kuna nini hapa kwa mohamed? hebu tujuze
  • mie mpemba na nilishatangaza vita na mola wenu na mtume wenu na hadi leo nadunda tu
  • karibu tuimalizie weekend leo, mvinyo + kitimoto on me.

wajiona shujaa mwenyewe!!! hahahaha! ...

vita walitangaza waliokutangualia miaka kenda iliyopita wakafa mpaka leo hii uislam upo na utaendelea kuwepo
 
Kwa hiyo unakubali technically riba ipo pote ila 'wording'. Interest rate inabakia the same kwa sababu muda wa kurudisha huwa sio mrefu sana.
We ndo maana nikasema sasa unapanga ubishi, Business margin (Profit) itakuwaje sawa na Interest rate !?
Mwanamke na Mwanamme wote ni binaadam lakini mmoja anazaa na mwingend hana uwezo huo ! Sasa kwa nini unang'ang'ania kupotosha matumizi ya hivyo viwili ? Interest rate ina charge kwa muda (time factor) na katika aina hiyo hakuna kushare hasara, prepaid na post paid yote ni matendo ya kulipa lakini yanatofauti kubwa ! Angalia usije ukafeli bana, oohoo ! Unteiya mosie !
 
Mkopaji atalipa amount borrowed plus a share or extra monies paid. Hiyo ya kuzaa sioni relevance yake hapa. sorry.
 
Tanzania ya leo kazi ipo, hata tangazo mnahoji kwanini mpemba duuh, tunakokwenda sasa ni hatari sana, kwani ni lazima yeye kuweka hela kwenye benki hiyo? hilo ni tangazo tuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom