Mkoloni akimbizwa hospitali

First hand information he/she might be having is that Mkoloni is sick after having poisoned "Mtori". The Poisoned "Mtori" being caused by dirty games is another issue. Taking the prevailing issues specifically anti virus and politics one may join the dots and conclude. The question is, is that information correct?
Thank you for that observation. Mwambie alafu.
 
sio kila kitu lazma iwe siasa... sasa hivi kuna kipindupindu mazee

inategemea mtori kaunywea wapi

Of course sio kitu lazima iwe siasa...just like sio kila kuzidiwa ghafla iwe kipindupindu.

Wanaohusisha kuugua kwake wanafanya hivyo kutokana na involement yake ktk siasa,na siasa ni mchezo mchafu,kwahiyo mhusika kutumbukiziwa kitu kwenye mtori sio jambo lisilowezekana.
 
4279170_orig.jpg
[/QUOTE]

huyu mkaka wa kwanza mwenye shati jeupe karibu na sugu ni nani tena jamaniii??
 
okay,nimezoea kumuona na zile nguo kama magwanda sikujua ni yeye,kumbe hendisamu!

Ni Mnyika - Next Ubungo Mp :becky:
[/QUOTE]

kwani akivaa magwanda u-handsome unaondoka, ukiwa handsome ni handsome tu hata uvae magunia
 
wadau nimesikia mkoloni bado kalazwa mwananyamala na inasemekana ni kweli alikuwa poisoned meeda bar
 
Uchunguzi wa awali kwenye Hospitali ya Wilaya ya Kinondoni, Mwananyamala, umeonesha kwamba Mkoloni aliwekewa vitu vinavyofanana na madawa ya kulevya kwenye 'mtori' aliokunywa pale Meeda Bar, Sinza. Lakini habari zaidi zinasema kwamba hayo yalithibitishwa alipohamishiwa Muhimbili, ambapo madaktari walimtibia mpaka alipoanza kupata nafuu. Hata hivyo, baada ya kupata nafuu hiyo na kuzinduka, alishindwa kuona sawa sawa, akawa anaona kila kitu mara mbili. Tunatarajia mpaka kesho, kijana wetu, shujaa wetu, atakuwa amerejea katika hali yake ya kawaida.

Walichotaka - mafisadi hawa - ni kummaliza, kwani wanajua nguvu yake na umahiri wake kisanii. Ukweli ni kwamba Wagosi wa Kaya wana ushawishi mkubwa sana kwenye uwanda wa siasa, kutokana na historia yao ya muda mrefu ya kuikosoa Serikali na mafisadi wote, kwenye tungo zao nyingi ambazo zilipendwa kutokana na ujumbe uliokuwa na hisia kali.

Hizi ni hujuma za kuwatisha wasanii wasishiriki kwenye ushawishi wa kisiasa kwenye kambi ya upinzani. Lakini nasema wamechelewa, wamechelewa MNO!

HATUTISHIKI! HATUDANYANYIKI! UKIFA SHUJAA MLANGO WA PEPO NI WAKO!

Niko tayari kufa kwa kuitetea nchi yangu!

-> Mwana wa Haki

P.S. Ninamfahamu Mkoloni. Ni kweli, hii sasa ni criminal case. Wahusika wote wa MEEDA BAR wako chini ya ulinzi wa polisi. Kesi zote za kujaribu kuua HAZINA DHAMANA! Watawekwa ndani mpaka kieleweke! Na WATAWATAJA waliowatuma!
 
...Does everything has to be Politic?? What if kachukua Mke/Bibi wa Mtu na mwenyewe akamaind na kutaka kumfanyizia?? Katika Politic arena yetu Mkoloni ana nini cha ziada hata atake kunyweshwa Sumu??? Tumpe Pole, inatosha. We dont have to start a storm in a tea cup!
 
Back
Top Bottom