mwanamwana
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,077
- 4,113
Kwakuwa walioguswa ni chadema, jinga sana wewe.childish post
Kwakuwa walioguswa ni chadema, jinga sana wewe.childish post
Wadau,
Mhe. Rais wetu mpendwa Dr John Magufuli yupo mkoani Kagera kwa ziara ya siku 4.
Akiwa njiani amelazimika kusimama ili aweze kusalimiana na Wananchi wengi waliojitokeza kumsalimia na kumjulisha matatizo yao mbalimbali.
Tutaendelea kuwajuza juu ya kinachojiri kwenye ziara hiyo yenye lengo kuu la kuleta maendeleo kwa Watanzania.
Karibuni.
UPDATE: Uzinduzi wa Uwanja wa ndege wa Bukoba
Bogus comments. Nani alisema anataka airport ya Oajunguti kuwa mbadala wa Bukoba airport? Kwani kukiwa na airports za Chato, Mwanza, Bukoba, Omukajunguti kutakuwa na ubaya gani? Be reasonable please!Wanajitokeza kushangaa haya
1.kwanini amelikana jina la kato na kuwakimbia
2.kwanini ajenge chato international airport badala ya omukajunguti
3. Kwanini amewadanganya meli,
4.Million 50 za kila kijiji hawajuhi kama zitakuja
5. Kamtelekeza na kuisahau familia ya mzee machalila, na kishao karagwe
,6. Dolla imefika 2600 leo
Hivyo kujitokeza kwa wingi haimaanishi.wanakukubali wanakuja kuangalia kama una aibu usoni
Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana
Cc
Pascal Mayalla
Wadau,
Mhe. Rais wetu mpendwa Dr John Magufuli yupo mkoani Kagera kwa ziara ya siku 4.
Akiwa njiani amelazimika kusimama ili aweze kusalimiana na Wananchi wengi waliojitokeza kumsalimia na kumjulisha matatizo yao mbalimbali.
Tutaendelea kuwajuza juu ya kinachojiri kwenye ziara hiyo yenye lengo kuu la kuleta maendeleo kwa Watanzania.
Karibuni.
UPDATE: Uzinduzi wa Uwanja wa ndege wa Bukoba
Pove la.nnBogus comments. Nani alisema anataka airport ya Oajunguti kuwa mbadala wa Bukoba airport? Kwani kukiwa na airports za Chato, Mwanza, Bukoba, Omukajunguti kutakuwa na ubaya gani? Be reasonable please!
Lwakatare kachanganya na za kwakeHabari wakuu,
Kumekuwa na tabia ya wabunge wa upinzani hasa chama fulani kuwashambulia wabunge wa upinzani wanaohudhuria mikutano ya Rais Magufuli kwa kuwaita wasaliti. Wapinzani hao walimshambulia vikali mbunge wa Kigoma baada ya kuhudhuria mkutano wa Rais jimboni kwake ila kutokana na ukomavu wa Zitto kabwe akawapiga kijembe kwa kusema Zitto Kabwe: Kuna kachama kana mdomo mdomo maana K/njaro wana maendeleo. Hamkuchagua mbunge zwazwa.
Jamaa walitoa povu balaa sana.
Nasubiria kuuona msimamo wa wabunge wa upinzani wakimuita Lwakatare msaliti na kumtenga kabisa.
We mtu wewe! nakanyeto ni nini??? Mbona kana neno baya?Anyegere muno aije nakanyeto
Hahahaha (anyegere nakanyeto)=akaribie ajisikie huruWe mtu wewe! nakanyeto ni nini??? Mbona kana neno baya?
Kumbe wahaya wengi humu.Onyegere muno o'muka Tata Ta Kato Mzilankende.
pumbafu ww inaonekana huna wazazi wwNi matumaini yangu makubwa kuwa ' Mjane ' atakayepangwa leo hapo Kagera hatokesea ' mahesabu ' yake kama yule wa wiki iliyopita kule Mwanza ili ' Sinema ' isiharibike kama siyo kushtukiwa na wenye akili zao timamu na zilizotukuka kabisa.
Lwakatare kaudhulia ?Lwakatare kachanganya na za kwake
Pascal Mayala ndio mwenye hili andiko??Wanajitokeza kushangaa haya
1.kwanini amelikana jina la kato na kuwakimbia
2.kwanini ajenge chato international airport badala ya omukajunguti
3. Kwanini amewadanganya meli,
4.Million 50 za kila kijiji hawajuhi kama zitakuja
5. Kamtelekeza na kuisahau familia ya mzee machalila, na kishao karagwe
,6. Dolla imefika 2600 leo
Hivyo kujitokeza kwa wingi haimaanishi.wanakukubali wanakuja kuangalia kama una aibu usoni
Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana
Cc
Pascal Mayalla
Lwakatare kagoma kususa,anaeleza kero za jimbo lake,huo ndio upinzani unaotakiwa sio kususa susa