Mkoani Kagera: Yaliyojiri kwenye Ziara ya Rais Magufuli kwenye Uzinduzi wa Uwanja wa Ndege Bukoba Mjini

Wadau,

Mhe. Rais wetu mpendwa Dr John Magufuli yupo mkoani Kagera kwa ziara ya siku 4.

Akiwa njiani amelazimika kusimama ili aweze kusalimiana na Wananchi wengi waliojitokeza kumsalimia na kumjulisha matatizo yao mbalimbali.

Tutaendelea kuwajuza juu ya kinachojiri kwenye ziara hiyo yenye lengo kuu la kuleta maendeleo kwa Watanzania.

Karibuni.

UPDATE: Uzinduzi wa Uwanja wa ndege wa Bukoba

Mkuu Updates ziko wapi,au bado hajafika huyo Magufuli,ukianzisha uzi kama hivi kila baada ya dakika kumi au chini ya hapo unatakiwa uwe unatuhabarisha kinachojiri,sasa wewe unaanzisha uzi halafu unasikilizia kutoka kwa wengine..
 
Wanajitokeza kushangaa haya
1.kwanini amelikana jina la kato na kuwakimbia
2.kwanini ajenge chato international airport badala ya omukajunguti
3. Kwanini amewadanganya meli,
4.Million 50 za kila kijiji hawajuhi kama zitakuja
5. Kamtelekeza na kuisahau familia ya mzee machalila, na kishao karagwe

,6. Dolla imefika 2600 leo

Hivyo kujitokeza kwa wingi haimaanishi.wanakukubali wanakuja kuangalia kama una aibu usoni

Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana
Cc

Pascal Mayalla
Bogus comments. Nani alisema anataka airport ya Oajunguti kuwa mbadala wa Bukoba airport? Kwani kukiwa na airports za Chato, Mwanza, Bukoba, Omukajunguti kutakuwa na ubaya gani? Be reasonable please!
Wadau,

Mhe. Rais wetu mpendwa Dr John Magufuli yupo mkoani Kagera kwa ziara ya siku 4.

Akiwa njiani amelazimika kusimama ili aweze kusalimiana na Wananchi wengi waliojitokeza kumsalimia na kumjulisha matatizo yao mbalimbali.

Tutaendelea kuwajuza juu ya kinachojiri kwenye ziara hiyo yenye lengo kuu la kuleta maendeleo kwa Watanzania.

Karibuni.

UPDATE: Uzinduzi wa Uwanja wa ndege wa Bukoba

Habari wakuu,

Kumekuwa na tabia ya wabunge wa upinzani hasa chama fulani kuwashambulia wabunge wa upinzani wanaohudhuria mikutano ya Rais Magufuli kwa kuwaita wasaliti. Wapinzani hao walimshambulia vikali mbunge wa Kigoma baada ya kuhudhuria mkutano wa Rais jimboni kwake ila kutokana na ukomavu wa Zitto kabwe akawapiga kijembe kwa kusema Zitto Kabwe: Kuna kachama kana mdomo mdomo maana K/njaro wana maendeleo. Hamkuchagua mbunge zwazwa.

Jamaa walitoa povu balaa sana.

Nasubiria kuuona msimamo wa wabunge wa upinzani wakimuita Lwakatare msaliti na kumtenga kabisa.
Lwakatare kachanganya na za kwake
 
Ni matumaini yangu makubwa kuwa ' Mjane ' atakayepangwa leo hapo Kagera hatokesea ' mahesabu ' yake kama yule wa wiki iliyopita kule Mwanza ili ' Sinema ' isiharibike kama siyo kushtukiwa na wenye akili zao timamu na zilizotukuka kabisa.
pumbafu ww inaonekana huna wazazi ww
 
Tunamshukuru rais amekuja kutufariji sis wahanga wabtetemeko la ardhi maana alitutupa Kweli,
Asante rais wa wanyonge
 
Wanajitokeza kushangaa haya
1.kwanini amelikana jina la kato na kuwakimbia
2.kwanini ajenge chato international airport badala ya omukajunguti
3. Kwanini amewadanganya meli,
4.Million 50 za kila kijiji hawajuhi kama zitakuja
5. Kamtelekeza na kuisahau familia ya mzee machalila, na kishao karagwe

,6. Dolla imefika 2600 leo

Hivyo kujitokeza kwa wingi haimaanishi.wanakukubali wanakuja kuangalia kama una aibu usoni

Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana
Cc

Pascal Mayalla
Pascal Mayala ndio mwenye hili andiko??
 
Lwakatare kagoma kususa,anaeleza kero za jimbo lake,huo ndio upinzani unaotakiwa sio kususa susa

Nadhani Ma RC ndiyo waandazi wa hizi shughuli za ziara hizi, huwa wanachangia sana kuhudhuria au kutohudhuria kwa wabunge wa upinzani, kuna ma RC na Ma DC wanafanya kazi za maendeleo vizuri na wabunge wapinzani majimboni mwao ila kuna wakuu wengine wamejiotesha pembe.
 
Ziara za mheshimiwa ni mikoa ilele anarudia tu au ni nchi nzima au huku mara ni mbali?
 
Back
Top Bottom