Nimekuelewa, na kwa kuwa nia yako ni njema.Huwezi kufanya Jambo la kuhoji raia locally Tu je ikitokea kuna watu wameenda kutoa taarifa polisi kwamba kuna mtu anazunguka na kuzungumza na raia kuhusu changamoto za mji huoni kwamba unaweza kamatwa ikakuletea shida ukizngatia nchi hii CCM wameshafanya kama Yao na familia zao watajua Tu mi ni chadema Yanini sasa kupelekwa mahabusu na kusumbuliwa huyo mbunge mwnyew engineer Hana lolote Naye anakalamika Tu haelewi biharamulo shida ni nn hiki nnachokisema nna uhakika nacho.
Pili nilitaka utafiti wangu uwe official si WA hovyohovyo Tu na nilitaka tumia miezi mitatu kisha nitoe report sa kama ningeufanya gzani ingesaidia nini sasa zaidi ya kupoteza muda tu
Wasukuma wamefanyeje tena?Mkuu kwani ungefanya utafiti bila kumshirikisha ingekuwaje?
Sidhani kama kuna shida ndugu yangu!!
Na Biharamulo ina mchanganyiko wa Wasukuma pia.
Nimeisoma na nmeielewa hao wasomi wa bukoba wabinafs ndio mana wamekimbilia kujenga dsm..kiufupi hata nyie tu hampendani..nmeish bkb nimeoa bukoba..nawajua vzr watu wa kagera.Umeisoma hoja yangu vizuri?
Ndio kwani ndio wamekuwa kikwazo cha maendeleo ya mkoa wa kager..?Ni sehemu ya mkoa wa Kagera.
Na malengo yangu makuu ndio hayo ya kuhamasisha wana Kagera kuwekeza Kagera. Na kuhamasisha uwekezaji zaidi ndani ya Kagera.Nimeisoma na nmeielewa hao wasomi wa bukoba wabinafs ndio mana wamekimbilia kujenga dsm..kiufupi hata nyie tu hampendani..nmeish bkb nimeoa bukoba..nawajua vzr watu wa kagera.
#MaendeleoHayanaChama