Mkoa wa Tabora mmezidi matukio ya wizi

Mkoa wa Tabora mmezidi matukio ya wizi

Tuna guest house maeneo ya kanyenye chumba kimoja tumekifanya kama store ila hatuweki vitu vya maana tunaweka takataka tu kama used condoms sanitary pads tunazipak kwenye maboks ya tv na shangaz kaja alafu vibaka wanakuja wanatekenya kufuri ambalo technically ni bovu wanaiba takataka ngumu that is how we dispose our trash halaf jamaa hawachoki asee kila week lazima wajekuiba takataka wakat nyie mnaona vibaka kama tatizo sisi tunaona fursa RIP BOSS RUGE
Mkuu nimecheka kwa sauti,wanapenda TV hao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikua Tabora hivo karibuni,aisee ule mji hauna shughuri za vijana kufanya,kwanza vijana wenyewe wavivu balaa.

Nilienda garage moja pale nyuma ya stand ilipofika saa kumi fundi anaagaa anaenda nyumbani na kazi hajamaliza.

Kesho yake akaja saa tatu kumalizia kazi tunamuuliza kulikoni unakuja muda huu akasema hata maduka ndio muda wanao fungua,nilishangaa saana!

Kwa wafupi vijana wavivu saana tabora,wapo busy kuuza kahawa.ukigeuka huku kahawa,ukigeuka kushota kahawa yaani taflani!
 
Umwinyi mwingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tabora ni hatari kwa wizi, mimi nilifikia maeneo ya Ng'ambo panaitwa mtaa Wa Mgumia waliniibia simu yangu na suruali ulikuwa na elfu hamsini. Tabora ni shida ndo maana Mzee Wa fyekelea mbali anawaambia vijana Wa Tabora ni wavivu sana kazi yao ni kunyoa panki inayofanana na mkate.

Nimecheka kwa sauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom