Mkoa wa Tabora mmezidi matukio ya wizi

Mkoa wa Tabora mmezidi matukio ya wizi

Ha ha ha haha kwahiyo jamaa yangu ukalia sana?
Ha ha daah,pole sana.
Siku hiyo nilijua Nina kipaji cha kupiga kelele,wengine nliwakuta wanaiba ndani nikapiga yowe wakatupa godoro kwenye nyasi,wanaiba pasi,bag na stabilizer.Nilijua Nina kipaji cha kupiga kelele sku hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa angu juzi kaenda kanisani na mkewe asubuhi,na kuna majirani kibao ila wanaiba Flat ya LG na Booger na Hela za mauzo ya mkwewe ya biashara ndogo ndogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuna guest house maeneo ya kanyenye chumba kimoja tumekifanya kama store ila hatuweki vitu vya maana tunaweka takataka tu kama used condoms sanitary pads tunazipak kwenye maboks ya tv na shangaz kaja alafu vibaka wanakuja wanatekenya kufuri ambalo technically ni bovu wanaiba takataka ngumu that is how we dispose our trash halaf jamaa hawachoki asee kila week lazima wajekuiba takataka wakat nyie mnaona vibaka kama tatizo sisi tunaona fursa RIP BOSS RUGE
 
Back
Top Bottom