pocha2
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 890
- 396
Nimebaki najiuliza for years, hili jina limetoka wapi ? Je si nguvu za kisiasa tuu za watu wa Mbeya, ambao wametupa jina tuu na kichukua vitu vya muhimu? Ili nieleweke,,, kuna issues mbili tatu:
1. Hakuna sehemu ya maana iliyokuwa inaitwa Songwe
2. Kila cha maana chenye jina hilo kilibaki Mbeya, mfano: uwanja wa ndege, kiwanda cha cement, gas ya hellium, n.k
3. Songwe ni jina gumu na halina Mvuto na hata hii wilaya mpya yenye jina kimsingi ingeitwa Chunya B
4. Makao Makuu ya Mkoa wa Songwe yamewekwa Vwawa-Mlowo, Mbozi,
5. Ikumbukwe jina la Mbozi lina-hang kama vile Kilimanjaro na Moshi, Rukwa na Sumbawanga, n.k,
6. Makao makuu ya Mkoa wa Songwe yapo Vwawa Wilayani ya Mbozi (hakuna mji unaitwa mbozi, ukiachia mbali hospitali ya mbozi mission) ambayo yenyewe makao yake Vwawa.
Je haingekuwa busara huu mkoa ukaitwa Mbozi, Vwawa au Mlowo?