Ukichunguza vizuri hao watoto wa hiyo shule utagundua wengi hawatokei Mbeya bali wamefuata shule fulani iliyojengwa Mbeya.
Wanambeya halisi wanasoma shule za day hapo Mbeya, sasa nenda kafuatilie matokeo yao halafu uje utupe mrejesho hapa.
Naona haufuatilii mambo ya Elimu katika hizi shule za bweni;
Hizo shule husomesha wanafunzi wa mikoa yote kigezo ni wale wenye maks za juu.
Ukisikia shule ipo mbeya, bukoba Arusha, Moshi nk jua wenjeji hapo wanaweza kuwa 25%