Hivi bado mbeya kna wale wanaoitwa wanyambudakama hujawahi kuishi mbeya unaweza ukafikiri hivyo...
kuna mtaa unsitwa Nzovwe ni full makanisa tena mengi yapo kwenye nyumba za watu, vikanisa vingi sana .....
mi nahisi mbeya waliishaona dili kwenye biashara ya dini maana kila mtu alijisikia ye anahama kanisa lake na kuanzisha la kwake na cha kushangaza mbeya kuna ushirikina sana sio mjini wala kijijini yani kote so taasisi za dili ni nyingi lakini watu wa dini ni wachache.
Lusekelo ni mchungajiNimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana juu ya mkoa wa Mbeya.,nimebahatika kutembea zaidi 75% ya mikoa ya Tanzania lakini ni mkoa wa Mbeya tu ndipo nilipokuta wingi wa makanisa ya watu binafsi pamoja na "maaskofu na manabii" waliojipachika status hizo wenyewe.
"Maaskofu na manabii" wengi tunaowasikia leo hii hapa Tanzania ni watu wenye asili ya mkoa wa Mbeya, kwa uchache tu hebu angalia hawa wafuatao;
Nabii Lusekelo "mzee wa upako"
Mchungaji Mwakasege
Mchungaji Bukuku
Askofu Mwasota
Na hivi karibuni ameibuka "babu" Mwasapile.,list ni ndefu sana...
Ninachojiuliza ni kwamba wingi wa makanisa haya unamaanisha kuwa mkoa huu ndio wenye wacha Mungu sana au ndio ile nchi ya ahadi tunayoisikia tu na pengine Masia akirudi anaweza kufikia Mbeya.
Hivi bado mbeya kna wale wanaoitwa wanyambuda
hahahahahaha,,,, dah, una fact za ukweli sana ndugu yangu,,,, hii stori kwa upande mwingine inafurahisha sana, na inaonekana kweli hilo suala umelifanyia research.. Big up
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana juu ya mkoa wa Mbeya.,nimebahatika kutembea zaidi 75% ya mikoa ya Tanzania lakini ni mkoa wa Mbeya tu ndipo nilipokuta wingi wa makanisa ya watu binafsi pamoja na "maaskofu na manabii" waliojipachika status hizo wenyewe.
"Maaskofu na manabii" wengi tunaowasikia leo hii hapa Tanzania ni watu wenye asili ya mkoa wa Mbeya, kwa uchache tu hebu angalia hawa wafuatao;
Nabii Lusekelo "mzee wa upako"
Mchungaji Mwakasege
Mchungaji Bukuku
Askofu Mwasota
Na hivi karibuni ameibuka "babu" Mwasapile.,list ni ndefu sana...
Ninachojiuliza ni kwamba wingi wa makanisa haya unamaanisha kuwa mkoa huu ndio wenye wacha Mungu sana au ndio ile nchi ya ahadi tunayoisikia tu na pengine Masia akirudi anaweza kufikia Mbeya.
Hivi bado mbeya kna wale wanaoitwa wanyambuda
Sadaka zaidi ya 5 huu ni wizi,mpaka watakapo punguza idadi ya sadaka ndio nitaanza kwenda vinginevyo siend kanisani na Peponi 100% nitaingia
Ukiona hivyo basi ujue ushirikina nao mwingi hivyohivyo..
kama hujawahi kuishi mbeya unaweza ukafikiri hivyo...
kuna mtaa unsitwa Nzovwe ni full makanisa tena mengi yapo kwenye nyumba za watu, vikanisa vingi sana .....
mi nahisi mbeya waliishaona dili kwenye biashara ya dini maana kila mtu alijisikia ye anahama kanisa lake na kuanzisha la kwake na cha kushangaza mbeya kuna ushirikina sana sio mjini wala kijijini yani kote so taasisi za dili ni nyingi lakini watu wa dini ni wachache.
Mbeya ni ukanda wa wakristo,kuna wakristo wengi kuliko dini zingine,sawasawa na wingi wa misikiti,katika mikoa ya pwani.
Humu hutopata jibu.
Unatakiwa ummulize Mungu ndie atakupa majibu sahihi.
kuna wachuna ngozi na wapiga nondo, nao wana upako ?
dah! cjui lkn,ngoja nikafanye utafiti.