Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,966
- 5,559
- Thread starter
- #121
Mtoto wa nyoka ni nyoka."Hatutapeleka maendeleo kwenye majimbo yanayo ongozwa na upinzani" - Heri James , 2018. M/kiti UVCCM.
Mtoto wa nyoka ni nyoka."Hatutapeleka maendeleo kwenye majimbo yanayo ongozwa na upinzani" - Heri James , 2018. M/kiti UVCCM.
Hivi unaelewa kweli maana ya mamlaka ya mji mdogo wa ngaramtoni hapa naongelea barabara za ndani ya mjimdogo ni pamoja na barabara uliyo post amabyo imebakia kipande kidogo sana kwa mbele imejengwa na mamaka ya mji mdogo wa ngaramtoni sehemu iliyo baki nisehemu ndogo sana hata kilometer moja haifiki na hii sehemu ipo kwenye mikakati ya mnispaa ya jiji la arusha.We ndio ujui na ukae kimya na siasa zako, nyepesi.. Ambu niambie ni lini Bunge ilipitisha hiyo burget ya barabara ya ngaramtoni, awamu ya tano.
We Kawadanganye watanzania waginga ila sio Mimi, huna akili ww ni ushabiki umekujaa kwenye siasa kama unashabikia timu ya mpira.
ukiwa mzawa ndio useme uongoQUOTE]
We utakuwa sio mzawa ni muamiaji, so huna uchungu hata watu wa Arusha,wakiteseka kwako Sawa.
We endelea na siasa zako za kiskuma humu ndani.Hivi unaelewa kweli maana ya mamlaka ya mji mdogo wa ngaramtoni hapa naongelea barabara za ndani ya mjimdogo ni pamoja na barabara uliyo post amabyo imebakia kipande kidogo sana kwa mbele imejengwa na mamaka ya mji mdogo wa ngaramtoni sehemu iliyo baki nisehemu ndogo sana hata kilometer moja haifiki na hii sehemu ipo kwenye mikakati ya mnispaa ya jiji la arusha.
Barabara ya motorways ambayo inatoka usa hadi ngaramtoni hii imejengwa moja kwa moja na maguli na alitoa hela cash kwenye ziara yake nakumbuka kipindihicho mrema alifika hadi tengeru kushuhudia tukio hilo la kishujaa tena bado alikuwa bench tu hata ajawa mkulu wa parole.
Kwani kuchagua mbunge wa chama pinzani ni makosa? Kazi ya Mbunge ni ipi?? Pascal napenda sana mawazo yako na jinsi unavyoyawasilisha ila kwa hili labda kama sijakuelewa.Declaration of interest.
Mimi nimesoma Arusha, na pia nimeoa Arusha hivyo Arusha nakuja sana, ni kama kwangu, nakiri kwa kweli kabisa, hii hali ni mbaya sana, sikuwahi kushuhudia barabara kama hii maeneo ya mjini kati, labda Ngarenaro, Kijenge ya Juu na Olamatejoo ya enzi hizo.
Ukiambiwa hapa kuna mbunge unaweza usiamini, its so sad and pathetic. Hivi mbunge wa hapa ni nani?. Kuna Barabara za Tarura na za Tanroad, sijawahi kuisikia barabara hii ikizungumzwa popote. Jee mbunge yupo?. Fedha za mfuko wa jimbo anafanyia nini?, maana zinatosha hata kumwaga tuu kifusi.
Hata si mliishaambiwa ili eneo fulani lipate maendeleo mnatakiwa kufanya nini?. Inawezekana Wana Arusha mlifanya makosa sana, ndio maana hali ni hii, sasa ili mpate maendeleo, msirudie tena makosa kama yale ili Arusha irudie ile hadhi yake ya zamani, pia naomba kuwahakikishia, kama mlifanya makosa, mmeisha samehewa, kufanya kosa sii kosa, kosa kurudia kosa.
P
Tutasubiri mpaka lini na matizo hayasubiri .. Na sisi tunahitaji huduma kama watanzania wengine.Subirini kdg mliambiwa.
Aisee...Declaration of interest.
Mimi nimesoma Arusha, na pia nimeoa Arusha hivyo Arusha nakuja sana, ni kama kwangu, nakiri kwa kweli kabisa, hii hali ni mbaya sana, sikuwahi kushuhudia barabara kama hii maeneo ya mjini kati, labda Ngarenaro, Kijenge ya Juu na Olamatejoo ya enzi hizo.
Ukiambiwa hapa kuna mbunge unaweza usiamini, its so sad and pathetic. Hivi mbunge wa hapa ni nani?. Kuna Barabara za Tarura na za Tanroad, sijawahi kuisikia barabara hii ikizungumzwa popote. Jee mbunge yupo?. Fedha za mfuko wa jimbo anafanyia nini?, maana zinatosha hata kumwaga tuu kifusi.
Hata si mliishaambiwa ili eneo fulani lipate maendeleo mnatakiwa kufanya nini?. Inawezekana Wana Arusha mlifanya makosa sana, ndio maana hali ni hii, sasa ili mpate maendeleo, msirudie tena makosa kama yale ili Arusha irudie ile hadhi yake ya zamani, pia naomba kuwahakikishia, kama mlifanya makosa, mmeisha samehewa, kufanya kosa sii kosa, kosa kurudia kosa.
P
Tunduru hamuhitaji huduma mzuri kwa kumchagu Mpakate wa ccm pale bungeni kazi yake ni kupiga makofi ya kupongeza hotuba za mawaziriHoja unayo ila umeiwasilisha kikudakuda sana,kwani sisi wa Tunduru hatuhitaji barabara nzuri,mbona Iringa wanatulisha,acha kujifanya wathamani kuliko sisi.
Mimi nahitaji kùmjua mkurugenzi wa ilo jiji maana yeye ndo mwenye dhamana ya fedha katika mapato na matumizi katika sehemu yakeDeclaration of interest.
Mimi nimesoma Arusha, na pia nimeoa Arusha hivyo Arusha nakuja sana, ni kama kwangu, nakiri kwa kweli kabisa, hii hali ni mbaya sana, sikuwahi kushuhudia barabara kama hii maeneo ya mjini kati, labda Ngarenaro, Kijenge ya Juu na Olamatejoo ya enzi hizo.
Ukiambiwa hapa kuna mbunge unaweza usiamini, its so sad and pathetic. Hivi mbunge wa hapa ni nani?. Kuna Barabara za Tarura na za Tanroad, sijawahi kuisikia barabara hii ikizungumzwa popote. Jee mbunge yupo?. Fedha za mfuko wa jimbo anafanyia nini?, maana zinatosha hata kumwaga tuu kifusi.
Hata si mliishaambiwa ili eneo fulani lipate maendeleo mnatakiwa kufanya nini?. Inawezekana Wana Arusha mlifanya makosa sana, ndio maana hali ni hii, sasa ili mpate maendeleo, msirudie tena makosa kama yale ili Arusha irudie ile hadhi yake ya zamani, pia naomba kuwahakikishia, kama mlifanya makosa, mmeisha samehewa, kufanya kosa sii kosa, kosa kurudia kosa.
P
AiseeeAisee...
Kazi ipo!
2020 Tunaingia ngwe ya pili..! Pambana mkuu...
Aiseee
Niende wapi...Left huku hebu...
Si imekuwa ni lazima tuuwe visiki vya maeneo yanayo fikiri tofauti na mapenzi ya utawala wa sasa?Hapo vipi,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo chini, mkoa wa Arusha umeendea kusahaulika na kutelekwezwa, awamu hii japo ndio mkoa unaochangia mapato makubwa katika Nchi hii.
Miundo mbinu ndani ya mjini, imegeuka kama mito, chini ya uongozi wa Mrisho Gambo huu mkoa umekuwa na hali mbaya kimaendeleo.
Kuna hii barabara ya kutoka white rose na pale mianzini zimekuwa kama mito ndani ya mjini..
Cha kujiuliza mkoa nyeti Kama mkoa wa Arusha, yenye fursa za kitalii ,makao mkuu ya Afrika Mashariki.. Inatelekezwa hivi kisa hila za kisiasa ,inakuwa haina maana Kwa sababu hauwakomoi watu wa Arusha peke yao ila ni Taifa nzima, kwasababu watalii wanapenda mkoa wenye miundo mbinu nzuri.
Sasa Kama utamzungusha Mzungu kwenye mashimo namna hii, unategemea akirudi kwao atarudi tena au ataenda kumuhamasisha wezio waje watembelee mkoa wa Arusha.
Ni aibu kwa uongozi huu, Embu muache tabia za kimaskini, tufike mahali tuangalie maslahi mapana ya Taifa hili.
Mkoa wa Arusha unatakiwa utuzwe sio kwa maslahi ya watu Wa Arusha ila ni Kwa maslahi ya Taifa.
Leo kinachoendelea hapa Arusha ni siasa za kimaskini za kupokonya mkoa huu fursa na kupeleka mikoa mingine kwa hila.
Leo mikutano ya kimataifa ilifanyika hapa miaka mitano iliyopita , hata Bunge la East Africa sidhani kama bdo waendelea kufanyika hapa.
Juzi wanunuzi na wauza mawe wanaambiwa wasionekane tena mjini, eti waande Namanga, kufanyia biashara ni aibu.
Hivi mtu ametoka na Billioni zake Thailand, unamuambia aende Namanga akalale kwa guest kwa usalama upi.
Kinachoamua centre ya biashara sio maamuzi ya kisiasa ni miundo mbinu za kibiasha ni kimaanisha usalama wa wao na huduma muhimu kwao. Sasa Kama tunafikia pahala pa kuwaamurisha watu kama Ngo'mbe pasipo kukaa na wadau wenyewe ukapokea maoni yao,tafsiri yake hiyo mipango yenu ya kisiasa lazima itakwama au mtaharibu biashara ya madini moja kwa moja.
View attachment 1106199
View attachment 1106188View attachment 1106191View attachment 1106199View attachment 1106202View attachment 1106205View attachment 1106205View attachment 1106188View attachment 1106202
Tutawaambia nini? Sisi kina nani?Niende wapi...
Barabara mbovu, mtatuambia nini 2020
Nyinyi wanasiasa!Tutawaambia nini? Sisi kina nani?
Mimi sio mwanasiasa..Nyinyi wanasiasa!