Mkoa gani unafaa kwa kilimo 100%

Alafu kingine anatakiwa ajue ya kwamba sehemu yenye rutuba hakuna Soko la mazao. Labda kama ana target ya kupeleka mjini DSM, Mwanza, Zanzibar, arusha na sehemu ya majiji na sio uku kwy rutuba hakuna wanunuzi na wanunuzi ni choka mbaya
Penye neema hakunaga maendeleo watu hufikiria kula tu.
 
Back
Top Bottom