Jamani mimi natafuta mkoa mzuri wa kuishi ambako maisha ni ahueni! Nijuzeni waungwani!
Durfur, goma,kivu
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Jamani mimi natafuta mkoa mzuri wa kuishi ambako maisha ni ahueni! Nijuzeni waungwani!
Chugga? Njoo Chugga! ..... kweli lugha gonganaNjoo Chugga mwana.....full kipupwe......bata ndio mahala pake......hakuna mawazo.....