kevin strootman
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 1,114
- 1,879
Mwezi ujao mwezi wa 11 nataka kujipa likizo fupi baada ya miparangano ya kimaisha hapa mjini dar, natamani niende mkoa ambao nitaenjoy, Hali ya hewa na wenyeji wa hapo (maua muhimu).
Ila isiwe Mikoa ya kaskazini (Tanga, Kili, Arusha).
Nipe na sababu kwanin nifike mkoa unaoniambia panafaa kwenda kukaa hata for two weeks.
Ila isiwe Mikoa ya kaskazini (Tanga, Kili, Arusha).
Nipe na sababu kwanin nifike mkoa unaoniambia panafaa kwenda kukaa hata for two weeks.