Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 6,982
- 14,752
Tanzania inazalisha maziwa mengi sana kupitia hizi comment chache zinatoa uthibitisho..Kama Uko Serious, Maziwa Yapo Rufiji Huku, Lita 500,chache sana, ukitaka mawasiliano niko mhoro rufiji, elfu 7000, nauli to dar,
😂😂😂aise
Inawezekana hata kwenye mashule yale bording,au wanafunzi hawastaili kunywa maziwahuyu lazima naoda zake kule mahoteli makubwa 5 stars, hasubirii hii one off game,
Njoo pm nina miniranch naweza kukusupply zaidi ya Lita mia 600 yakiwa fresh bila kuwa added na chochote.Pia nassupply maziwa safi ya mtindiHabari zenu wana hili jukwaa? Mimi nipo Dar nilikua natafuta mahala au mkoa ambao uko karibu na Dar ambapo nitaweza kupata wafugaji wa ng'ombe kwa wingi ili niweze kununua maziwa mazuri ya ng'ombe hasa kuanzia lita 500 nakuendelea, naomba mnisaidie kwa wanaojua hata ikiwezekana contacts za wafugaji. Ahsanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei kwa lita?Njoo pm nina miniranch naweza kukusupply zaidi ya Lita mia 600 yakiwa fresh bila kuwa added na chochote.Pia nassupply maziwa safi ya mtindi
Sent using Jamii Forums mobile app
mtindi bei ya jumla unauzaje ..... unagandisha Kwa kutumia special culture au kienyeji?Njoo pm nina miniranch naweza kukusupply zaidi ya Lita mia 600 yakiwa fresh bila kuwa added na chochote.Pia nassupply maziwa safi ya mtindi
Sent using Jamii Forums mobile app
nashangaa tanzania mashule mengi hawapewi maziwa kabisa hasa za serikali nizosoma wakati tuna mabwawa ya maziwa na nyama zakutosha, ivi kwanini?Inawezekana hata kwenye mashule yale bording,au wanafunzi hawastaili kunywa maziwa
kile kiwanda cha maziwa rufiji bado kipo mkuu?Kama Uko Serious, Maziwa Yapo Rufiji Huku, Lita 500,chache sana, ukitaka mawasiliano niko mhoro rufiji, elfu 7000, nauli to dar,
Nikweli kabisa unalosema shida hatuna sera nzuri wala mwongozo juu ya kilimo/ ufugaji wetutumebarikiwa vitu vingi sana yan tuna mifugo na maziwa yakutosha ivi ila ndo ivo jaman,ilibidi wafugaji wawe matajiri wakubwa kwa soko la ndani na nje ya tz
Nimeipenda sana hii.mkuu weka 2000 @ liter, visiga kibaha njiani kabisa unapata maziwa mazuri ambayo hayajaguswa, uhakika ni kuja na vipimo vyako tu mkuu
Kweli aisee , nami nimeona hilo. Nawaza kama kuna lolote linalofanyika kuongeza thamani...Tanzania inazalisha maziwa mengi sana kupitia hizi comment chache zinatoa uthibitisho..
Bado serikali inaruhusu uigizwaji wa maziwa kutoka nje...
Maziwa Mengi Mno, Shida Viwanda Vya Kusindika,vipo Vichache, Ni Kazi Kwetu Kuiona Hii Industry,