Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,933
- Thread starter
- #101
Kambi ya fisi kuna mipangilio murua 😜[emoji1787][emoji1787] Umetisha Fisi
Kambi ya fisi kuna mipangilio murua 😜[emoji1787][emoji1787] Umetisha Fisi
Mkataba haramu wa Double penetrationTupo na DP world kwa Sasa...
Nani huwa mshindi?tukikutana stand ya magufuli lazima tuzichape.
Mlianza kwa kupeana majina kama honey, darling, sweetheart, babe, honey bunny, sweetie, bear, poppy, cutie, sunshine, then mkaenda sugar...
Kwa sasa mko wapi?
Anakimbia maana miye hata maji machafu namwagiaNani huwa mshindi?
Kambi ya fisi kuna mipangilio murua [emoji12]
Atujawahi hata kufinyana, ila tuu tulipanga mengi lkn hayakufika mwisho ndiyo maana vurugu.Mtakuwa mmliachana kwa kipigo pia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu kawaida hayoAtujawahi hata kufinyana, ila tuu tulipanga mengi lkn hayakufika mwisho ndiyo maana vurugu.
Usije sema sikukuambiaHata mimi nimeona [emoji23]
Acha ukatiliAnakimbia maana miye hata maji machafu namwagia
Na yeye anakuita we mpuuzi?Saa izi tuko "wee mpuuzi"
Duuh!ni maadui wa kufa mtu shetani mwenyewe anakaa pembeni.
true dat man na hatubongi kabisa hata tukionana .Duuh!
Mmefikishana pabaya sana.true dat man na hatubongi kabisa hata tukionana .
Ni huzuni[emoji24]Mnafanya nini huko?
Haishi mpaka tuishe mkuu tumeamua iwe hivyo.Acha ukatili
Haishi mpk ishee hujua nilipitia nini? Niache sitaki ushauri mimi na yeye ni treni na reli mpk Kigoma bado hatujafika.Mkuu kawaida hayo
Hujaona wenzio waliopanga jinsi na majina ya first born lakini yakaishia hewani [emoji3]