Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,933
- Thread starter
- #61
Mko wapi sasa?Tulipofika sugar tukakorogana tukadissolve
Mko wapi sasa?Tulipofika sugar tukakorogana tukadissolve
Tulipotelea kwa chaiMko wapi sasa?
Tupo hapa dsm mkuu maeneo ya GOMZ ila tnataka tuelekee Upanga mara moja af tutarudMlianza kwa kupeana majina kama honey, darling, sweetheart, babe, honey bunny, sweetie, bear, poppy, cutie, sunshine, then mkaenda sugar...
Kwa sasa mko wapi?
KhaBabe michu veve
Au we Mzee ?
Na ilinyweka bila shakaTulipotelea kwa chai
KambiniWewe upo wapi?
Exactly. Na uzingatie price was high by that time. TuliikunywaNa ilinyweka bila shaka
ni text pm basi brother
Kivipi sasaAu we Mzee ?
Halafu akirudi home anamuita my honey 😃
Hahaha unaitwa dearMlianza kwa kupeana majina kama honey, darling, sweetheart, babe, honey bunny, sweetie, bear, poppy, cutie, sunshine, then mkaenda sugar...
Kwa sasa mko wapi?
😍Hahaha unaitwa dear
Hakuna jipyaatimae ngono imekiwa kama mchezo wa olympic huko swedeni