Mzee Saliboko
JF-Expert Member
- Jan 29, 2018
- 1,329
- 1,044
Kula chuma hicho
Sio poaHaishi mpaka tuishe mkuu tumeamua iwe hivyo.
Haishi mpaka tuishe mkuu tumeamua iwe hivyo.
Yalifikia kikomo bila shaka 😆Tulishaachana kitambo na mtu hataki hata kumsikia wala kumuona mwenzake, mapenzi haya😀
Mungu ataiondoa huzuniNi huzuni[emoji24]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu mnaitana poppy na mnataka mfike mbali?
Thubutu yake, alafu ndugu zangu wanamuona km ndugu yao kikitokea kitu anajua basi anakuja kwa kunyata.Yalifikia kikomo bila shaka 😆
Kimpango wakeSio poa