Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,933
- Thread starter
- #21
UkaitikajeLeo hii hii padre kaniita love
UkaitikajeLeo hii hii padre kaniita love
Pole mkuu 😂tuna mwaka hatujatafutana aisee inasikitisha kila mtu anamvimbia mwenzake natamani nijishushe ila kwa jinsi ninavyomjua
Me: mambo
Her: poa nani
Me: Urban
Her: sawa una shida gani
hapa nahisi hata miaka 10 itatoboa
Mlianza kwa kupeana majina kama honey, darling, sweetheart, babe, honey bunny, sweetie, bear, poppy, cutie, sunshine, then mkaenda sugar...
Kwa sasa mko wapi?
Halafu akirudi home anamuita my honey 😃Demu alikuwa anamjaza jamaa sana kumbe alikuwa anapiga show za nje.
Mkiachana lazima na hayo majina muachane nayo, maana huenda mliitana hivyo wakati amsha amsha za kutamaniana tu sasa tamaa zikiisha hata ndani ya wiki moja tu break upKuna kuachana..hasa kwa hiki kizàzi cha zinaa.
Miezi miwili tu break up!
Inasikitisha
Ni kweliMapenzi Ni Kama maua, Kuna wakati wa kuchanua/ kunawiri na Kuna wakati wa kuchanika
Kumbe tupo wengi 😂😂Nikikumbuka hadi majina ya watoto tulishachagua...mwili wote unapata ganzi
Heee..[emoji849][emoji849][emoji849]Kati ya combo iliyobamba ni ile ya "Mambo yao tuwaachie Wenyewe" na "Mapikipiki" ,Demu alikuwa anamjaza jamaa sana kumbe alikuwa anapiga show za nje.
akina baba fulani na mama fulaniWanaitanaje sasa 😂
Na leo hatusemeshani, nkipita kwao namwaga mchanga dirishaniKumbe tupo wengi 😂😂
😂😂 Dah hao watoto tuliowatelekeza wasije huku duniani watusamehe tu.Na leo hatusemeshani, nkipita kwao namwaga mchanga dirishani
Watu wanapoa uzeeni kwa kweli 😂akina baba fulani na mama fulani
Wewe 😜Saivi tunaitwa 'wewe'.
😂Mahututi