Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,933
- Thread starter
-
- #41
Itabidi uachane na jazba, sio poa kumwaga mchanga kwa ex bebi wakoNa leo hatusemeshani, nkipita kwao namwaga mchanga dirishani
DP =Demons problem, kusolve hiyo kitu kwa maandamano na malumbano hakuwezi kuiondoa DP.Tupo na DP world kwa Sasa...
Vita kama ya kunguru....hakuna kuisha😁Itabidi uachane na jazba, sio poa kumwaga mchanga kwa ex bebi wako
Wewe hebu muache, tena usipite karibu na nyumba yake.Vita kama ya kunguru....hakuna kuisha😁
Tuko kwenye weweMlianza kwa kupeana majina kama honey, darling, sweetheart, babe, honey bunny, sweetie, bear, poppy, cutie, sunshine, then mkaenda sugar...
Kwa sasa mko wapi?
mimi ni informer wao[emoji41]Wewe hujaenda kuandamana?
Nitaanzaje kuwa informer wa adui wakati wa vita?mimi ni informer wao[emoji41]
wote hatuwezi kukamata bunduki, wengine tunacheza na computerNitaanzaje kuwa informer wa adui wakati wa vita?
Usisahau kuwa hao DP = demons problem hivyo hawapigwi kwa bunduki wala hawapingwi kwa maandamano.wote hatuwezi kukamata bunduki, wengine tunacheza na computer
niombe nini DUA?Usisahau kuwa hao DP = demons problem hivyo hawapigwi kwa bunduki wala hawapingwi kwa maandamano.
Amka uombe achana na kuchezea key board ukidhani utaleta ushindi dhidi ya DP.
Acha apige Bara na visiwani mana wote wale wale.Tuko huku kwa mange.
Nyie amkeni ka mange sikapendagi ila kwenye sakata la bandari kamesimama kama mtanzania kawavua nguo nendeni kweny page yake mjionee ista viongozi wakubwa ndo vinala wa mapenzi ya jinsia moja.
Hii nchi imelaaniwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaaa sasa.Tuko huku kwa mange.
Nyie amkeni ka mange sikapendagi ila kwenye sakata la bandari kamesimama kama mtanzania kawavua nguo nendeni kweny page yake mjionee ista viongozi wakubwa ndo vinala wa mapenzi ya jinsia moja.
Hii nchi imelaaniwa.
Babe michu veveM mtu hata barua hujatoa ukiniita mke wangu sipend aisee
Noma Sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mlianza kwa kupeana majina kama honey, darling, sweetheart, babe, honey bunny, sweetie, bear, poppy, cutie, sunshine, then mkaenda sugar...
Kwa sasa mko wapi?
😂😂Noma Sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tulipofika sugar tukakorogana tukadissolveMlianza kwa kupeana majina kama honey, darling, sweetheart, babe, honey bunny, sweetie, bear, poppy, cutie, sunshine, then mkaenda sugar...
Kwa sasa mko wapi?