mkiva tena ndani ya nyumba.

mkiva tena ndani ya nyumba.

Umeamka!
Jeipili hii , ushajipimia weee! Saa dala unusu, ndiyo unatia maguu Jeiefu!

Nilikuwa siujui utamu wa kummiliki mtu mzima ndo mana nilikuwa lukwiri niko kitaa.
Sasa mambo mswano, najigeuza kona zote hadi mchagoni.
 
Weeee!
Nambiee koma! Kumbe unajifaudulia kiivo?
Hata hivyo mi "sitamanishiki" nimimeza mate funda moko tu!
"sizidishiki "
 
hahaha.
Ndo mana mdogo wangu beibe nasty aliondoka.
Kumbe kimoko tu.
 
Yaani kama korosho.
Si unakumbuka ile picha yao niliyokuonesha wakati tulipokuja Tanga mwaka jana,
hadi nae watu8 nae akathibitisha kuwa ni watoto wake.

nakumbuka shosti akatuomba tusizivujishe siri watoto wenyewe hawana majina ya kizungu
 
Last edited by a moderator:
Madame B na Arabela naona mnataka kumpeleka my mummy measkron ICU kwa presha.... Chonde chonde nawaomba mambo ya familia muyaweke kando tuzungumze ya kwetu!!! Sitaki. muwe chanzo cha kusambaratisha ndoa ya wazazi wangu plzzzzzz!!!"
 
Twataka ufahamu hayo ili ujue maovu ya dadio.
Dadio si anajifanya mlokole!
Twavujisha siri zake tu.
 
Last edited by a moderator:
Madame B na Arabela naona mnataka kumpeleka my mummy measkron ICU kwa presha.... Chonde chonde nawaomba mambo ya familia muyaweke kando tuzungumze ya kwetu!!! Sitaki. muwe chanzo cha kusambaratisha ndoa ya wazazi wangu plzzzzzz!!!"

subiria ndugu zako waletwe ndo mtakapojua mbivu na mbichi. Mana napata uchungu kuona anawanyanyapaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom