Mkisikia mwanamke huyo kauwawa msishangae.

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,048
Reaction score
13,495
Npo kwenye basi naingia jijini dar. Pembeni yangu kuna jamaa anaongea na demu wake hapa. Anamuwakia sana na kasema akirudi tu nyumbani huyo mke aondoke lasivyo anamuua. Mke anabisha anasema haondoki, jamaa anasema mke aombee apate ajali afe
 
......mnh, huko Bongo mbona #Majanga sasa....
 
Back
Top Bottom