Mkishangaa ya Chato msisahau ya Msoga

OK sawa asante lakini sijui NENO kuonewa unalitoa wapi kila mara... Naona kama limekukaa mno
Jr[emoji769]
 
Ona akili kama hizi sasa!

Na mtaendelea kulia sana.
Nawaonea huruma maana kuna jamaa mmoja yeye toka amalize chuo hajapata kazi kwa akili yake alifikiri akimaliza tu atashikwa mkono tena, yaani hataki kukubali kwamba hiyo course aliyosoma kuna watu toka kila Kabila wamesoma pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini unanitaka nikubali tafsiri isiyo yangu? Huu ni mjadala nimeanzisha weka mawazo yako na mitazamo yako kisha acha wengine nao wafanye hivyo... Kuingia chaka ni tafsiri yako... Usinilazimishe nikubaliane nawe kwakuwa hata mimi sijakulazimisha
Kubali tu kwamba hii mada yako umeenda chaka

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Ukitaka kuwatoa nyoka shimoni walimojificha mwaga mafutataa.... Halafu kaa pembeni ushuhudie mahangaiko.... [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]

Jr[emoji769]
Tumenusurika kweli makao makuu ya serikali kuwa chato

Jr[emoji769]
 
Mafutataa yamemwaga shimoni nyoka wametoka kama wote... Na kwakuwa hawapendi harufu ya haya mafuta (inawadhuru) na kwa vile wamezoea kuishi shimoni kwenye kiza wakitoka nje kwenye mwanga wanapata tabu sana
Unamaanisha nini mchawi wenzangu?

Jr[emoji769]
 
Ahaa ok,kuna joka moja kubwa limetoka humo pangoni linagalagala nje,naona ni athari za mafuta uliyomwaga pangoni,nimekuelewa mchawi
Ukitaka kuwatoa nyoka shimoni walimojificha mwaga mafutataa.... Halafu kaa pembeni ushuhudie mahangaiko.... [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]

Jr[emoji769]

Jr[emoji769]
Ma
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ahaa ok,kuna joka moja kubwa limetoka humo pangoni linagalagala nje,naona ni athari za mafuta uliyomwaga pangoni,nimekuelewa mchawi

Ma

Jr[emoji769]
 
Nikweli mkuu! Naomba kanda ya ziwa kama kuna watu wamepania kuinua maisha ya kanda ya ziwa! Wajenge vyuo vingi vya elim huko, nasikia kuna CBE inajengwa bariadi sapiwi, na DIT mwanza nk. Naomba vyuo vikuu viongezeke badara yakubaki na SAUT pekee, harafu wasamvaze siyo kuwa palepale mjini. Pelekeni vyuo vya NIT kama tawi pale magu kuna maeneo mengi bado yapo wazi maana saivi NIT ni dar pekee, chuo cha bandari perekeni pale Nyamikoma ziwa lipo na maeneo yapo, chuo cha anga pale kisesa maeneo yPo na na vyuo vingine
 
I was about to say something but umeweka vzr mwishoni maana hao watu wamebadilika sana, wanapeleka watoto wao shuleni kwa kasi ya ajabu. Ongezeko la watoto wa kike kwenda shule from primary schools to universities ni kubwa mnoo compared to boys....hivi sasa jamii wanajadiliana kuwasukuma watoto wote kwa pamoja. FYI wamasai wameweka target kuwa by any cost ni lazma wafikie kiwango cha wachaga kielimu au zaidi....kuhusu ufugaji, again, they are no long raising cattle for prestige purpose kwasasa wanafuga na kuvuna kwa wakati mwafaka kabla ya kiangazi.....hawa jamaa wamejipanga kwakwel...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila jambo ni mchakato... Lakini ni muhimu siasa na maslahi binafsi visiingizwe la sivyo mchakato mzima unafeli na kuonekana hauna maana kabisa
Jr[emoji769]
 
Tofauti ni kubwa mnoo kati ya Maasailand Vs Sukumaland. Ni hivi, Wasukuma mmemaliza rasilimali asili zote kama Wanyamapori, miti na uoto wa asili, mmelima kila sehemu na ardhi kupoteza rutuba na bado hakuna maendeleo. Wasukuma ni adui wa mazingira na uoto wa asili kwa ujumla.

Wamasai kwakwel wamesoma sana kuliko Wasukuma. Wamestaarabika mno kuliko Wasukuma. Wamasai wana developed centers nyingi kuliko Wasukuma. Wamasai wana community"s governance systems huku Wasukuma wakijiendea kama nyumbu (niambie kiongozi yoyote unaemfahamu wa kisukuma-nitajie), wenzio wanao viongozi wa Kimila (Laigwenani), Wachaga(Mangi), wameru(washili), nk nk.... Wakisukuma????

Mwisho; wamasai na makabila mengine hutahiriwa, vipi Wasukuma hili limekaaje?? Sorry for disappointment.....nina mengi kuhusu hawa watu, let me reserve some for a while....
Mwanzo wa post yako ni uharo mtupu. Hivi Tanga na huko umasaini kuna nini cha kuzidi sukumaland ? Pole sana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msuya alipokuwa Waziri Mkuu alijenga majengo makubwa sana pale halmashauri ya Mwanga. Leo hii baadhi ya magorofa wanaishi huko popo. Think twice
Dah, haya mkuu yetu macho uliyosema yana ukweli wake. Jengo la mahakama wilaya ya Chato ni hatari kuliko mikoa mingi niyotembelea na hakika muendelezo wa hayo yote itakuwa ni changamoto kwani rasilimali watu haijaendelezwa kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachape zaidi hao.....
huu ulimwengu wa information na technology hauangalii makabila....
ni bidii yako tu
 
Kagera imepigwa vita plus majanga na matukio ndo yameishusha.


Mngepigwa na hayo majanga na kakilimanjaro kalivyo sidhani kama mngesimama kama ilivyokagera.
Mv bukoba,vita ya kagera,elnino, ukimwi,mnyauko, pamoja na Baba Lao tetemeko yote yameugusa mkoa mmoja na bila ya recovery yoyote lakin upo na umesimama mpaka leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi ona Duka la mangi uhayan labda kidogo bukoba mjini nako wameajiriwa au labda waliolewa uhayani

NB sijui Kwa nini mademu wengi wa kichaga wanapenda Sana nshomile !!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi ona Duka la mangi uhayan labda kidogo bukoba mjini nako wameajiriwa au labda waliolewa uhayani

NB sijui Kwa nini mademu wengi wa kichaga wanapenda Sana nshomile !!


Sent using Jamii Forums mobile app
Weweee
Nenda nshamba pâle centre wachaga kibao wana maduka,pâle bukoba mjini ndio usiseme
Hakuna popote Tanzania utakosa investment ya mchaga
Kuhusu kuolewa na nshomile,washomile wanaoa Sana uchagani ili wapate akili ya kimaendeleo,huez ukaoa mchaga alafu ukakosa maendeleo
Hata kina mkapa,sumaye,warioba,bomani ni wameoa uchagani upo?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…