Mkishangaa ya Chato msisahau ya Msoga

Uko sahihi, kwa kifupi watu wa kaskazini hasa Kilimanjaro ni wabaguzi sana na wanapenda kujipendelea wao pia kila kitu kizuri wanataka kiwe chao.

Sasa hauwezi kujenga nchi kubwa kama Tanzania yenye makabila zaidi ya mia moja kwa mtazamo wa ubaguzi.

Magufuli anajenga chato ni vizuri, ila pia tumeona Arusha kumejengwa Barabara za kisasa, dar es salaam zinajengwa, dodoma zinajengwa, Mwanza zinajengwa n.k

Hivyo mada za ubaguzi ni mbaya sana kwa nchi kubwa kama Tanzania
True hawezi fafanua nilichomuuliza kwa kuwa hakuna 'substance'

Wamekariri ya miaka ya nyuma
Watizame sasa na watizame mbele itakuwaje

Ukanda wont matter...everyone is exposed
It will js be TZ

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo bila kaskazini hakuna maendeleo?

Mbona siku hizi Watu kutoka kanda zote wachakarikaji na wanafanya maendeleo makubwa tu.

Pita Geita, Kahama, Mwanza kuna kila kitu kinachopatikana hiyo kanda ya Kaskazini. Bahati nzuri sisi wengine mikoa yote Nchi hii tumepita na kurudia. Kuanzia Majengo Moshi, Hedaru, Katoro, Tunduma nk.

Hakuna Watu wa 'kanda' flani wanaohodhi maendeleo au elimu
 
Kwa mikono yako mwenyewe umeamua kuandika huu ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
platozoom unataja maeneo ambayo wala hayapo kwenye mada yangu.. Naona kwenye mada nzima na kila nilichoandika havijadiliwi tena bali tumebaki na ukabila.. Rudia kusoma tena pls
Jr[emoji769]
 
upo sahihi ndg.
wakinga licha ya kusemwa kwamba ni washirikina na wachawi, leo hii wanaenda sambamba na watu wa kaskazini katika biashara.
 
Nawapongeza sana na ni upcoming billionaires... Japo kielimu bado ila kwa biashara wanakuja kwa kasi sana
upo sahihi ndg.
wakinga licha ya kusemwa kwamba ni washirikina na wachawi, leo hii wanaenda sambamba na watu wa kaskazini katika biashara.

Jr[emoji769]
 
Hatujakataa
Lakin bado ktk nyanja ya exposure au kusoma, kaskazini ipo juu yaani ime maintain,hivi Kuna taasisi gan utawakosa?
Kuna eneo gan tz utamkosa mchaga? Hii Ni exposure ya Hali ya juu kbs kimsingi bado sana kutufikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…