Mshana plsssss read para zako za mwisho tena[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]LadyRed kuna mahali nimezungumzia makabila na ukabila? Ninaposema kaskazini unapata tafsiri gani?
Je si kweli kwamba pamoja na Pwani kubebwa vilivyo lakini wenyeji wake wameshindwa kabisa kujitambua..?
LadyRed rafiki toka kwenye hilo box la fikra finyu uione hii post katika mtazamo mpana zaidi utanielewa
Jr[emoji769]
Wewe ni mtu mzima, acha ushamba na mawazo ya kitoto.
Umeshajiuliza mada hii ya kijinga ikiyo na upumbavu na ubaguzi itasaidia nini vijana?
Sent using Jamii Forums mobile app
nimekuwekea hapo naomba pls nipe tafsiri yako kulinganisha na nilichoandika.. Nia sio malumbano bali ni kuelimishana na kuwekana sawaMshana plsssss read para zako za mwisho tena
Usitufanye hatujui kutafsiri
Unaposema labda wa kaskazini sijui waokoe jahazi and shi.t unamaanisha nini?.mnajikutaga keki ila i assure you kwa ulikwengu wa sasa hamna jipya ambalo makabila wengine hawana kama lipo litaje hapa tumalize mzizi wa fitnaKwa mfano Pwani ya JK wenyeji wamebaki kuwa viibarua wapagazi na kazi zisizo na taaluma huku wakiendelea kuuza ardhi zao kwa bei sawa na bure.. Wao wakipata pesa kidogo ni starehe na KUONGEZA wake.
Siwezi kuizungumzia CHATO kwasasa lakini haina tofauti sana na Pwani... Na kuna uwezekano mkubwa sana awamu hii ikiheshimu Katiba na kuondoka madarakani kila kitu kitakufa kule.... Labda wa kaskazini wafanye jitihada kuokoa jahazi kwakuwa maono yao ni makubwa na uelewa wao uko deep zaidi...
Jr[emoji769]
Wapuuzi huwa hawajibiwi.....
Jr[emoji769]
Mshana Jr mtizamo mpana ni kwamba kila mtu anasoma siku hizi na kila mtu ana biashara sikuhizi
Sio tu makabila yaliyokaririwa
Hamjajifunza tu bado?..
Kuna service gani special Kaskazini ambayo Kanda zingine hawana?.
Unaposema labda wa kaskazini sijui waokoe jahazi and shi.t unamaanisha nini?.mnajikutaga keki ila i assure you kwa ulikwengu wa sasa hamna jipya ambalo makabila wengine hawana kama lipo litaje hapa tumalize mzizi wa fitna
Mada yako was perfectBado naona unastick na makabila.. Mimi nataka utoke huko... Halafu rafiki relax tafadhali mbona tunajadiliana kawaida tu? Au huwezi mijadala kama hii?
Jr[emoji769]
Ngoja next time aje wa "kanda ya nywnda za juu kusini"! Tutakuwa tunatengeneza ukanda na sio mikoa. Siku mkokisea mkawapa rungu ndugu zangu wa kaskazini, tutafanya Moshi kuwa makao makuu ya nchi[emoji23][emoji23][emoji23]
Kaskazini hamna vibarua?..
Huo uelewa deep na maono ni yapi.??
Labda utuelimishe?.
U started itBado naona unastick na makabila.. Mimi nataka utoke huko... Halafu rafiki relax tafadhali mbona tunajadiliana kawaida tu? Au huwezi mijadala kama hii?
Jr[emoji769]
Haha, Moshi ni center ya Tanga, K'njaro na Arusha so it qualifies. Hata Idodomya si walitumia kigezo hicho?Hivi kaskazini ni Moshi pekee? [emoji848][emoji848][emoji144][emoji144]
Jr[emoji769]
U started it
Swali langu ni simple
Ulipoandika labda wa kaskazini waje waokoe jahazi kwa kua wana maono nk ulimaanisha nini?.
Mbona hukutaja nyanda za kusini?..
Usiruke rule fafanua ulichomaanisha ili tukuelewe na tukupe ukweli