vvm
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 6,311
- 10,351
Nakumbuka nilikula Wali Maharage wa TZS 800 Mgahawa wa COET UDSM Mlio bado wanafunzi saivi RB ni shilingi ngapi hapo COET ?Rejea kichwa Cha habari hapo juu, juzi nilikua kwa mama ntilie hapa mtaani anasema kapandisha bei sababu ya mafuta kupanda.
View attachment 1682692