Mkisema maisha magumu sie tunaokaa Tandale kwa Mfuga Mbwa tuna raha

Ndiyo bei zetu ila nyama vinyango 1 au 2 tu
Ukitaka minyama mingi nenda breakpoint

Alafu supu asubuhi wanauza inaitwa white soup
Mchz tu bila nyama

Ova

Hahahaa... hii nimeikuta Karatu, naambiwa nikuongezee white nikawa sielewi, white ndio kitu gani?
 
haya mambo yanawezekana tu maana watu huishi kutokana na vipato vyao ndiomaana hutasikia wanaumwa sijui nini kwakuwa wanakula kidogo na pia wanakula vitu vya asili tofauti na wakishua wanafakamia mavitu kibaaao matokeo yake migonjwa kibaaao we uswahilini ushawahi kuskia mtu kaharisha kisa kanywa maji ya bomba tena yasiyochemshwa? jaribu wewe wa kishua uone kama hujaharisha hadi nanilii lichungulie nje
 
Watu mbona wanashangaa!!? Hivi kuna watu TZ hawajui kama vyakula vya bei hizo vipo na kuna watu tunaishi kwa vyakula hivyo.

Chapati 250 chai bure
Supu ya 500, 600
Wali wa buku
 
Back
Top Bottom