Wakampe Urais wa milele wa WafuKama wanaona mama anatupoteza warudi Chato wakamsindikize mwendazake dikteta.
KABURI bado kubwa lile linawatosha wote.
Na nimefuatilia nimebaini wengi wa watu hawa ni kutoka kanda ya ziwaPasha na wewe
Umesahau Geita mkuuMkuu kuunda chama sio kitu rais kama unavyodhani.
kupata wafuasi sio lelemama. Kwa sasa wanaoongea positively kuhusu rais samia ni mijini, Simaanishi kuwa viijiji wanaongea vibaya ila hawana mzuka wa hawa wa mjini, rHuko vijijini bado watu wanajua sisiemu sasa uwaambie ishu za chama kingine hawakuelewi na sasa hivi kuna kitu kibaya kinajengeka inatakiwa rais ajitahidi sana kuku-negate, kuna kitu kinaanza itwa SUKUMA GANG, yawezekana wanaoita hivi wanamaanisha wachache ila wasukuma wao kwa ujumla wao (mwanza, shinyanga, tabora) wanachukulia hii ni wao wote....otaleta madhara. Imajin ifike mahali mikoa hiyo iwe na mentality mentality ya wenyeji wa mkoa wa kilimanjaro kuhusu vyama itakuaje...
Tutake tusitake, ili ushinde urais kura za mikoa hii ni muhimu sana.
😂😂😂Wambie wahusika watubembelezee huko Tigo miamala haikubali kufanyika.
Nani kapanic?
Naiona hatari kubwa!! Mafisadi waliokuwa wamenywea naona wanaibuka nao wanadai wanamsapoti mama! Wakwepa kodi waliozoea kufanya udanganyifu Wa kodi waliokuwa wamebanwa vilivyo nao wamechangamka na kudhani enzi za udanganyifu na ukwepaji Wa kodi zinaelekea kurudi!! Waliokuwa wanamtukana Magufuli SAA hii wanamsifu mama!
Ni sukuma Gang kweli, hao wasukuma wakijichukulia ni wao wote hiyo ni juu yao. Kama walikaa kimya wakati kabila lao likitumikia taswira chafu, itabidi wakae kimya na sasa.
Halafu wakati wa Kampeni Mbowe atakwenda kuwaomba kura,au ataishia kupiga kampeni Mikoa ya Kaskazini peke yake?
Jamani hebu tujenge nchi hawa wanao taka mama ashindwe wakafie mbele huko shenzi zao kabisa...Hilo jina lake tu ni tusi huyo achaneni nae sisi wasukuma tuko pamoja na Mama hao wapuuzi .Kwanza mm nashukuru ndugu yangu hakuiacha inchi kwenye vita kwa hiyo hayo matatizo mengine Mama najua atayamaliza .Jamani hebu tujenge nchi hawa wanao taka mama ashindwe wakafie mbele huko shenzi zao kabisa...
hli jamaa liko kama limewehuka hv yaani....maana hata jna lake tyu limekaa kichokoraa sanaKuna jamaa linaitwa Jitombashisho, linalia Kisukuma hadharani mpaka watu wanalishangaa!