Mkimwaga mboga tunamwaga ugali

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,231
395960_10150953226757000_1735578423_n.jpg
 
kwani mahakama si imewaamuru wawafidie wanafunzi, au?
Inabidi waandae masomo ya ziada ili kutekeleza amri ya mahakama.
 
miye mbona nilisha sema atomic mass= proton -electron*neutron

animal cell contains large vacuoles and plant cells do not have vacuoles.
 
kwani mahakama si imewaamuru wawafidie wanafunzi, au?
Inabidi waandae masomo ya ziada ili kutekeleza amri ya mahakama.
Ndio wameamua kufuata maamuzi ya mahakama hivyo! Yaani ndio wanavyowafidia wanafunzi kwa disaini hiyo!
 
ila wanafunzi ndo wataathirika na huu mgomo

Kwani serikali sikivu inajali hilo? Acha liwalo na liwe, ila huyo dada alopigwa picha awe makini na acp msangi na Ighondu,asije nae akaokotwa na Juma Mgaza
 
Jamani mbele kuna kiza kizito! Hizi ndizo dalili mbaya za huko tunakoelekea watoto wetu jamani!!!!
 
miye mbona nilisha sema atomic mass= proton -electron*neutron

animal cell contains large vacuoles and plant cells do not have vacuoles.

Twende kazi wangu, Carl peters discovered the skull of the earliest man at amboni in 1892
 
miye mbona nilisha sema atomic mass= proton -electron*neutron

animal cell contains large vacuoles and plant cells do not have vacuoles.
*********:A S 465::A S 465::A S 465::behindsofa::confused::A S-confused1::A S-confused1::faint::faint::faint::help:
 
Twende kazi wangu, Carl peters discovered the skull of the earliest man at amboni in 1892

scalar quantities has magnitude and direction while vector quantities has magnitude only.

force=pressure* distance traveled.
matter is anything which lives
measurement is a distance of an object................
density of an object =ratio between measurement of an object an the area it covers.
an object floats because an upthrust force is less than the surface tension of the ocean water.
 
Ndo naandaa notes za geography form two hapa,
i. Solar eclipse occurs when pluto comes between the sun and Jupiter!

ii. The earth has four movements namely rotation,revolution,skipping and rolling!

Patamu kwelikweli
 
uwiiiiiiiiiiiiiii!
BHULULU unalia yaani hapa ni mwendo wa classfication
man- kingdom animalia
phylum-angiospermae
class-arachinida
order- zinjanthropus
family-amoeba
genus-euglinoids
species- man
upo hapo?
pupil ndo retina, cannines ndo molars, tarsals ndo metatarsals mid brain ndo oblongata fore brain cerebellum hind brain cereblum
 
Last edited by a moderator:
Wajibu wa wananchi uko wapi jamani! kama ni kweli watoto watu sisi walala hoi ndo wataumia, kwa sababu wa kwao kama hawapo st. schools wapo ulaya ma south africa. Tunatakiwa tupiganie haki yetu ya elimu.
 
scalar quantities has magnitude and direction while vector quantities has magnitude only.

force=pressure* distance traveled.
matter is anything which lives
measurement is a distance of an object................
density of an object =ratio between measurement of an object an the area it covers.
an object floats because an upthrust force is less than the surface tension of the ocean water.

Safi sana, after four years then the government should carry out an evaluation to see how helpful the courts have been to surpress the teachers' demands!
 
Back
Top Bottom