Mkimbie ya Hemed Phd ni moto

Mr.Wenger

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
2,558
6,091
Aisee wadau hii ngoma imetulia sana, japo jamaa watu hawamchukulii serious kwenye muziki lakini nasema this time mshkaji amefanya poa.

Hongera kwake, mwenye nayo naomba aiweke please wadau waisikie me nimejaribu nimeshindwa

================================================
 
Aisee wadau hii ngoma imetulia sana, japo jamaa watu hawamchukulii serious kwenye muziki lakini nasema this time mshkaji amefanya poa. Hongera kwake, mwenye nayo naomba aiweke please wadau waisikie me nimejaribu nimeshindwa
Weka hapa hilo song tulithaminishe
 
Aisee wadau hii ngoma imetulia sana, japo jamaa watu hawamchukulii serious kwenye muziki lakini nasema this time mshkaji amefanya poa. Hongera kwake, mwenye nayo naomba aiweke please wadau waisikie me nimejaribu nimeshindwa
tatizo jamaa bado anaushamba.fulani wakujisifia.sura.mtoto wakiume zama.zimebadilika af style yake moja tu habadiliki
 
tatizo jamaa bado anaushamba.fulani wakujisifia.sura.mtoto wakiume zama.zimebadilika af style yake moja tu habadiliki
We enjoy mziki mzuri tu hayo mengine muachie mwenyewe. Elton John alikuwa shoga kabisa lakini "sacrifice" ilibamba dunia nzima
 
Huyu jamaa ndo aliesema live on tv kuwa anaoga mara moja kwa wiki 3
Alivo msupu huezi kudhani
 
We enjoy mziki mzuri tu hayo mengine muachie mwenyewe. Elton John alikuwa shoga kabisa lakini "sacrifice" ilibamba dunia nzima
kibongo bong hatuna habar nae unataka na sis tuendekeze ujinga show zake.mamen hawaendi ndo mana.anafeli kikubwa.abadilike matamko yake na style.ya mziki
 
Hana jipya bwana ana kazi ya kuover wear tu hatuna time naye hamorapa ndo habari ya mjini kwa sasa chezeya harmorapa wewe...
 
Back
Top Bottom