GenuineMan
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 7,068
- 16,380
Hata wasingechoma chochote bado wangeuliwa. Tuna uzoefu maandamano ya kupinga utawala wa majizi. Kama rais alipanga atangazwe kwa kura 31m ambazo hakuna hao wapiga kura, unadhani angekubali maandamano ya aina yoyote? Hata hivyo ni wapi kuna maandamano ya kupinga dhuluma ya watawala yasiyo na uharibifu?Kuharibu Mali za Umma au za mtu yeyote sio njia nzuri ya kufanya demonstration.
Hizi Mali za Umma, ni kodi zetu ndio zinatumika kujenga.
KWa akili ya kawaida tuu kituo cha mwendokasi au kituo cha polisi hakuna faida yoyote ukikichoma moto, zaidi ya hasara.
Maandamano kwa watu waliostarabika
Wanaingia barabarani kwa wingi na mabango, huku wakipaza sauti ni nini wanataka.
Ukienda kuchoma kituo cha polisi , vyombo vya ulinzi haviwezi kukuacha , mwisho wa siku sehemu muhimu zitatiwa moto.
Mwisho pole kwa waliofiwa na ndugu jamaa na marafiki.
Mungu awasaidie katika kipindi hiki kigumu
Aunt luchaHao vibaka acha kupoteza muda kuwashauri wameshanogewa na mali za wizi wameona walivyoiba vimeisha sahivi wanapanga tena waingie barabarani kama kawaida yao ili waibe tena, Safari hii lazima nitawasaidia polisi kuwatanguliza akhera hawa vibaka.
Unaamini taarifa ya polisi? Kama ni kweli kwanini polisi wanazika watu sasa kwenye makaburi ya pamoja?Naomba nieleweshwe kidogo, sifahamu vizuri kuhusu yale maandamano; Nimeambiwa mwanzo polisi hawakuwa wakidhuru watu, ila baada ya kuona mali zinaharibiwa ndipo wakaanza kuwaua. Je, ni kweli?
Tunasaka silaha kwa nguvu kubwa. Hakuna uwezo wa kuendelea kutawaliwa tena na majizi kwa shuruti. Safari hii mujiandae kisaikolojia. We loose a battle, not a war.Hao vibaka acha kupoteza muda kuwashauri wameshanogewa na mali za wizi wameona walivyoiba vimeisha sahivi wanapanga tena waingie barabarani kama kawaida yao ili waibe tena, Safari hii lazima nitawasaidia polisi kuwatanguliza akhera hawa vibaka.
Nyumbu wewe silaha unaisaka jf, We kweli chakula cha mambaTunasaka silaha kwa nguvu kubwa. Hakuna uwezo wa kuendelea kutawaliwa tena na majizi kwa shuruti. Safari hii mujiandae kisaikolojia. We loose a battle, not a war.
Chawa subiri utaona usichoamini. Hata màndamano ya juzi hamkutegemea. Sasa subiri utafurahia show. Ukitaka kujua game limeharibika, jiulize kama nyie machawa mnathubutu tena kuvaa sare za ccm.Nyumbu wewe silaha unaisaka jf, We kweli chakula cha mamba
wewe si Muislam wewe??? du waafrika kazi kweliHao vibaka acha kupoteza muda kuwashauri wameshanogewa na mali za wizi wameona walivyoiba vimeisha sahivi wanapanga tena waingie barabarani kama kawaida yao ili waibe tena, Safari hii lazima nitawasaidia polisi kuwatanguliza akhera hawa vibaka.
Hiyo silaha utaitafuta miaka 10 na siku ukiipata utakufa kabla huja pull trigger, kenge weweChawa subiri utaona usichoamini. Hata màndamano ya juzi hamkutegemea. Sasa subiri utafurahia show. Ukitaka kujua game limeharibika, jiulize kama nyie machawa mnathubutu tena kuvaa sare za ccm.
Warudie tena sasa hivi tunawaambia polisi wapumzike hao panya road tutashughulila nao sisi raia wemaKuharibu Mali za Umma au za mtu yeyote sio njia nzuri ya kufanya demonstration.
Hizi Mali za Umma, ni kodi zetu ndio zinatumika kujenga.
KWa akili ya kawaida tuu kituo cha mwendokasi au kituo cha polisi hakuna faida yoyote ukikichoma moto, zaidi ya hasara.
Maandamano kwa watu waliostarabika
Wanaingia barabarani kwa wingi na mabango, huku wakipaza sauti ni nini wanataka.
Ukienda kuchoma kituo cha polisi , vyombo vya ulinzi haviwezi kukuacha , mwisho wa siku sehemu muhimu zitatiwa moto.
Mwisho pole kwa waliofiwa na ndugu jamaa na marafiki.
Mungu awasaidie katika kipindi hiki kigumu
Warudie tena sasa hivi tunawaambia polisi wapumzike hao panya road tutashughulila nao sisi raia wemaKuharibu Mali za Umma au za mtu yeyote sio njia nzuri ya kufanya demonstration.
Hizi Mali za Umma, ni kodi zetu ndio zinatumika kujenga.
KWa akili ya kawaida tuu kituo cha mwendokasi au kituo cha polisi hakuna faida yoyote ukikichoma moto, zaidi ya hasara.
Maandamano kwa watu waliostarabika
Wanaingia barabarani kwa wingi na mabango, huku wakipaza sauti ni nini wanataka.
Ukienda kuchoma kituo cha polisi , vyombo vya ulinzi haviwezi kukuacha , mwisho wa siku sehemu muhimu zitatiwa moto.
Mwisho pole kwa waliofiwa na ndugu jamaa na marafiki.
Mungu awasaidie katika kipindi hiki kigumu
And surely you gona remember it to your grave...just pick a plot in advance.Mali za kifisadi lazima zichomwe Moto
Watafute Mali halali Umbwa hao na wewe chawa wao wape salamu
9 December to remember!!
Tena this time wanabidi wapakwe KY kwanza kabla ya yote macho.ko haoWarudie tena sasa hivi tunawaambia polisi wapumzike hao panya road tutashughulila nao sisi raia wema