Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,826
- 21,057
Ni ndege. B2 bomber.Huyo ni samaki au ndege?
HahahahAisee usije ukaomba mtu akakuchapa nao,hayo maumivu ni bora uchapwe na waya.
Mkia wa taa ndiyo fimbo ilikuwa ikitumika na wakoloni kuchapa ndugu zetu.
Nyengo ni nini?Zamani kidogo, silaha zilizokuwa zinahifadhiwa ndani ni gobole, mkia wa taa na nyengo.
Matumizi ya hizo silaha inategemea na ukubwa wa tukio. Ugomvi wa kawaida, hasa ushabiki wa mpira, mkia wa taa...
Hivi nyengo ndio ile kitu wanatumia kukatia majani ya ng'ombeZamani kidogo, silaha zilizokuwa zinahifadhiwa ndani ni gobole, mkia wa taa na nyengo.
Matumizi ya hizo silaha inategemea na ukubwa wa tukio. Ugomvi wa kawaida, hasa ushabiki wa mpira, mkia wa taa...
Mundu.Hivi nyengo ndio ile kitu wanatumia kukatia majani ya ng'ombe
Ulikuwepooo...????Aisee usije ukaomba mtu akakuchapa nao,hayo maumivu ni bora uchapwe na waya.
Mkia wa taa ndiyo fimbo ilikuwa ikitumika na wakoloni kuchapa ndugu zetu.
Kwa hiyo wavuvi hawavui huyo samakHiyo ni silaha hatari
Una kama miiba ni hatari
Ukikutwa nao ni kama umekutwa na bunduki
Kwa hiyo wavuvi hawavui huyo samak