Mkewe RZ1 alipopata uwakili

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
Hongera sana mama wa kwanza wa mtoto wa Raisi...

attachment.php


aaa.jpg
 

Attachments

  • 9.jpg
    9.jpg
    64.2 KB · Views: 1,160
hapa si ikulu hapa jamani...hivi hawa nao wanakaa humu ikulu au walienda kwa mzee kumuonyesha cheti cha uwakili???
 
Aligawiwa kama RIZ1 aliyogawiwa na kama Baba RIZ1 anayogawiwa U-Dokta! Shame on them!

Iteitei Lya Kitee, good know umesoma na Arafa.
Naomba unipelekee na hongera zangu kwake.

Shame on us. Arapha ni mpiganaji kwenye maswala ya kitabu tumesoma nae darasa moja. Shes hardwaorking. Sijui mnachana nn dada wa watu. Sometimes tuweke majungu pembeni na chuki binafsi hasa tunapojadili mada kama hizi. Yuko Rex Artony na ni mchapakazi mzuri.
 
Husuda mbaya jamani. Hebu furahini munapoona mwenzenu kafanikiwa ili nany pia mufanikiwe na watu wawafurahie. Hongera sana dada.
 
Shame on us. Faraja ni mpiganaji kwenye maswala ya kitabu tumesoma nae darasa moja. Shes hardwaorking. Sijui mnachana nn dada wa watu. Sometimes tuweke majungu pembeni na chuki binafsi hasa tunapojadili mada kama hizi. Yuko Rex Artony na ni mchapakazi mzuri.

Nguli & Others nenda mkasome kitabu cha Malcom Gladwell kinachoitwa "Outliers" - mkimaliza mpeni pongezi Arafa/Riz1/ and the likes - Hard working ni relative term - Tusiharibu maana yake!
 
Back
Top Bottom