Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 752
aligawiwa.
Hivi hivi tu?
Iteitei Lya Kitee, good know umesoma na Arafa.Arafa Mohammed Kikwete,hongera sana my mate
Aligawiwa kama RIZ1 aliyogawiwa na kama Baba RIZ1 anayogawiwa U-Dokta! Shame on them!
Iteitei Lya Kitee, good know umesoma na Arafa.
Naomba unipelekee na hongera zangu kwake.
tanzania eee nchi yao eee hatukuupendi eeeee:...................................................
Arafa Mohammed Kikwete,hongera sana my mate
this is vere vere.........
Acha wivu usio na msingi,wewe nawe soma ingia politics kua prezzo ili mwanao awe kama RZ1,stop shitin on your bedI hate the young boy...RZ1 ...hivi naye ni Rais?????pumbaf....
Shame on us. Faraja ni mpiganaji kwenye maswala ya kitabu tumesoma nae darasa moja. Shes hardwaorking. Sijui mnachana nn dada wa watu. Sometimes tuweke majungu pembeni na chuki binafsi hasa tunapojadili mada kama hizi. Yuko Rex Artony na ni mchapakazi mzuri.