Mkeo wa Kesho

Mkeo wa Kesho

naye mke wake anafanywa hvyo hvyo kama anavyomfanya mke wa mwenzake......
 
Hahahahah Mkuu wangu Speaker!

Kwani kuna kitu unaweza kufanya kuzuia?

Pia yale mambo hayana makombo, kubwa uzima wa afya tu!
 
Last edited by a moderator:
Yaliyopi ta si..............?kama kuna watu wanachezea wanawake mmuaache mara moja...mbona ata w..e..m..a anaweza akawa mke mzuri tu achana mambo za historia...
 
.....endapo unatenda hata yeye pia anatendewaaa....taabu tu kulinganisha mahusiano ya zamani na yako na mwenzio...endapo alizoea 6 kwa 4 usiku kucha wewe unaenda 2 kwa moja.....ataenda kupasha kiporo moto...
 
unatushauri nini,ili kuacha kuchezea wake za watu?hakuna kitu kama hicho watu wanachezeana,,,,,,,,,kavua mwenyewe pichu au boxer then kamsaidia kijana kufungua vishikizo vya shati na mengineyo,,,,kama haitoshi kaweka mguu pande halafu mwisho wa siku aseme kachezewa badala ya "kuchezeana",,,,,,,tabia ya mtu ni kama ngozi mbona kuna watu wanaolewa wakiwa sealed it means wenyewe wanaishi sayari ya jupita?

Maisha ya mbele ni fumbo hivyo basi ukipata tumia na ukikosa jutia.
 
Yanini kupeana presha bure? Kama hujamkuta "silled" juwa wenzio walishamaliza kazi, bora afya.
 
^^
Ni kuhangaika na kizazi cha waliokwisha kufa
^^
 
Ganda la muwa la jana, chungu kaona kivuno...

Mwanamke unayemchezea leo, ndio mke wa mwenzako kesho!!!!
Je?? Unamjua mke wako wa kesho anafanywa nini leo??
 
Hahaaaaaaa.........na wewe wapewa maujuzi na maikspiriensi

siku mkikuttana full equiped na silaha za maangamizi..........

hahahahaha, ndio maana ake shosti, bila hivyo mauzoefu tuyatoe wapi? yutyubu au? lol
 
Back
Top Bottom