Suala la HIV na UKIMWI na kupima na kupokea majibu ni gumu sana kwa kweli,na ugumu unakuja pale mtu unapoambiawa kuwa wewe ni seropositive inamaanisha kuwa ni kifo tu,ingawa kila nafsi itaonja mauti lakini HIV ni suala zito sana.
Mbinu ya kutumika hapo ni kuwaandaa watu kisaikolojia pia kwa jinsi UKIMWI ULIPOKIJA NA jinsi ulivyosemewa kwenye media ni kama ugonjwa wa aibu,sasa basi ili kufuta hilo vichwani mwa watu ili waone UKIMWI ni kama labda magonjwa mengine yasiyokuwa na tiba mfano cancer na kadharika.
wanawake wamedhurika zaidi!ACTUALLY NI WANAWAKE NA WATOTO
Simwamini binadamu mwenzangu,hata siku moja.Nafanya hivi for the best of my kids.Hili jibu linautata kama unamwamini mwenzio kwa nn upime HIV? inaonyesha hamwaminiani.
Halafu kati ya wanaume na wanawake, ni kundi lipi ambalo limedhurika zaidi na ukimwi? Kuna mwenye takwimu?
Wengi wanaamini maambukizi ya ukimwi 99% yanatokana na ngono tu haya maambukizi kwa njia nyingine jamii sasa imesha elimika na inajizuia sana hata wale mangariba wamesha elimika siku hizi.
Mhhh! labda kama ni Dr. lakini sioni ubaya wowote wa Mama mwenye mali zake kuzicheck kama kila kitu kiko sawa.
Tatizo ni jinsi UKIMWI uliyokuwa mediatized.Kwa hiyo hulka hiyo ikajengwa kwenye mind za watu na kuuona UKIMWI ni ugonjwa wa aibu na wa ajabu.Hapo mimi ndio nachoka kbsa mbona mtu akiambiwa na presha-low/hyper blood p. au Kisukari haogopi kivile?
Laiti ungejua uzembe ulioko katika hospitali zetu.
hahaaaaa are you seriously asking Fide this qn???
Simwamini binadamu mwenzangu,hata siku moja.Nafanya hivi for the best of my kids.
Laiti ungejua uzembe ulioko katika hospitali zetu.
Yaani BAK ifanyike kama kampeni kina mama wapewe mafunzo ya jinsi ya kupima VVU na tupatiwe vifaa na uwezo wa kusoma majibu tu- masuala ya dawa na tiba tunawaachia wenyewe wenye fani zao. Pengine hamtaogopa sana au?
tuko fiti bana😀😀😀labda mj1, lakini hili la wanaume kuchekiwa lina matatizo sana sijui ni kwanini. Wengi tunajiamini tuko fit siku zote kitu ambacho si cha kweli kabisa.
Mbona hujaweka wazi wewe kama huwa unapima au lah unaweza ukapima ukaacha majibu kwa Dr.
Hofu ya Kupima mara nyingi hutokana na kazi za nje (vimada) ambao wanaume huwa nao. nadhani hii ni mbinu vile vile ya kumweka mwenzio kwenye mstari akishapima akajikuta yupo fresh anaweza akaacha kazi za nje.
Wengi tunajiamini tuko fit siku zote .
Hebu muelezee na mwenzie Iribini.wenyewe kucheki afya mpaka wakianza kuugua.ni utaratibu wa kawida kucheck afya yangu mpwa!!!!!!
jaribu kuwa unafanya hivo uone starehe yake Fidel.......
ni utaratibu wa kawida kucheck afya yangu mpwa!!!!!!
jaribu kuwa unafanya hivo uone starehe yake Fidel.......
Hebu muelezee na mwenzie Iribini.wenyewe kucheki afya mpaka wakianza kuugua.
Majibu ya HIV huwa unachukua au unamwachia Dr. atajijuaga mwenyewe huko huko?
Mimi najiamini nipo fit kabisa sihiitaji Dr. anipime maana nipo fit.