Kile alichokupendea mwanamke mwanzoni kama gia ya kumuweka kwenye himaya yako ndo hicho atakachokupendea.
Kama ulimfata na gari, pesa, Kazi, six-pack, uhandsome viendelee kuwepo Ili awepo. Usilalamike kuachwa kisa kazi, pesa, gari, mali vimeisha nae kaishia. Hii dunia ishi maisha yako huyo ni partner na sio mwili mmoja.