Mkeo anapongezwa na mshikaji wako

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
7,113
930
Ebwana vp ukikuta msg kwenye simu ya mkeo inasema hivi: SHEMEJI HONGERA SANA KWA RAHA ULIYONIPA JANA,MAANA TANGU TUMEANZA MAPENZI JANA NDIO NIMEKUFAIDI VIZURI,TENA NAKUOMBA HUYO MTOTO AKIZALIWA UNIKABIDHI HUKO HUKO HOSPITAL,KISHA KAMWAMBIE JAMAA MTOTO SIYO RIZIKI NA NIMEONA GHARAMA KUBEBA MAITI SO NIMEMALIZANA NA WAHUDUMU WAMZIKE HUKO HUKO.
Jee wewe ungefanyaje na tayari mkeo ana mimba ya miezi3?
 
Ushamba.
Hilo halipo.
Mla wake za watu hawaandiki mesej.
Hawapigianipigiani simu.
Ukiona sim uje kazi.
 
Yes,ndo ushakuta msg sasa,it doesn't matter wanaandika au hawaandiki,wewe utafanya nn?????
 
hata mwendawazimu hawezi kuandika ujumbe kama huo kwa mke wa mtu....jipange kivingine
 
utafanya nini wakati kila kitu kinajieleza hapo. Cha msingi ni kuesabu hauna mke.
 
mleta mada sio mzima kweli wewe unajua so la mke wa mtu au mume wa mtu hakuna kitu kama hicho
 
Ulishamsikia Marehemu Shaaban Robert?
Ushasoma riwaya yake ya kusadikika?
Unafahamu habari ya nchi ya kusadikika?
Naona unaleta stori za kusadikika.
Vinginevyo wawe ni mataahira wenye ndoto za kiabunuasi.
 
Ulishamsikia Marehemu Shaaban Robert?
Ushasoma riwaya yake ya kusadikika?
Unafahamu habari ya nchi ya kusadikika?
Naona unaleta stori za kusadikika.
Vinginevyo wawe ni mataahira wenye ndoto za kiabunuasi.

umenikumbushaa mbali kuleeeee nchi ya kusadikika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom