Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,226
kwani miguuni kuna macho?
Afu na wewe umezidisha sasa. baki hukohuko miguuni.
Afu na wewe umezidisha sasa. baki hukohuko miguuni.
Ninachojivunia kwake ni kunioa tu na kunipa nafasi ya kuwa mke wake, zaidi ya hapo mhhhhh siri ya mtungi.
Ninachojivunia kwake ni kunioa tu na kunipa nafasi ya kuwa mke wake, zaidi ya hapo mhhhhh siri ya mtungi.
Kwa sababu mnayapenda
Heheeehe this is interesting em mje kwa wingi sie tusomeee
mkuu upo au?
Nipo mkuu, aise inabidi tufanye mpango tuanze kuvuniana
Just like the old days
sio wote inategemea kama umegusa maslahi yao
Ooh yeh l am.
Mi nilimfungulia e mail alikuwa hajui kitu, kuanzia hapo ananionaga mkali wa IT hadi kesho,kumbe kanjanja tu
na wewe tiririka lol
Wachepukaji utawajua tu.
Nina miaka 11 ndani ya ndoa sijawahi chepuka ndugu yangu ,lkn nakwambia siri ya mtungi aijuaye kata.