Mkeo anajivunia nini juu yako?

Mkeo anajivunia nini juu yako?

Umeona eh? na mpaka akubali kunizalia Matesha ujue aliridhika na gegedo langu.

Hebu nisaidie kumtongoza Khantwe tukafanye sriisam.

Wee babu acha kuvunga hapa wakati unajua nna kiumbe chako tumboni hapa...anitongoze ili ufanyeje sasa
 
Last edited by a moderator:
Plumber yeye, electrician yeye, mkulima, mfugaji, muimbaji, commandoo yani ni mtu ninayeweza mtegemea.
Ninadeka kwa mama, kwake na kwa mwanangu yaani hadi raha. Nazidi kuwa a spoiled brat.
 
Ninachojivunia kwake ni kunioa tu na kunipa nafasi ya kuwa mke wake, zaidi ya hapo mhhhhh siri ya mtungi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom