Mkeo anajivunia nini juu yako?

Mkeo anajivunia nini juu yako?

mimi wife anasema mbegu yangu balaa kwani amepata watoto wazuriii
 
Mimi mke wangu anajivunia heshima ninayompa kwani sijawahi kuacha kumheshim na hilo imekua msingi wa upendo wa kweli ndani ya nyumba, lakini pia anajivunia kwa kua na mume mwenye mtazamo na upeo wa mambo mbalimbali ya maendeleo na maisha kwa ujumla always she smiles lol mke raha bana asikueleze mtu
 
Kila akikumbuka ile mistari nilipokuwa namtokea huwa anajivunia sana
 
hahaaaaaaaa
kiwaki yani wewe umeua lolz.
nimechekaa.

kwa hyo baby anakuona weye bongeeee la IT..
 
Last edited by a moderator:
Mimi mke wangu anajivunia heshima ninayompa kwani sijawahi kuacha kumheshim na hilo imekua msingi wa upendo wa kweli ndani ya nyumba, lakini pia anajivunia kwa kua na mume mwenye mtazamo na upeo wa mambo mbalimbali ya maendeleo na maisha kwa ujumla always she smiles lol mke raha bana asikueleze mtu

hongera kijana
 
Mke wangu anajivunia u hard working na creativity yangu. Namsikiaga akijisifia kwa wenzake wakiwa wanalialia shida zao.
 
Mimi akiona nimemwamishia 200000 mpesa ananionaga shujaa wake sana siku hiyo hatulali mpaka majogoo,chezea segitwa ww!
 
Mmmh swali wameulizwa wanawake ,wanaume sasa!! Khaaa ! Kututamanisha tu!! Mmmxxxyuuu! Ha ha ha!! (Wenye wivu utawajua tu)!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom