BINTI MMOJA ALIBAHATIKA KUWAHI KUOLEWA NA KAHENDISAMU KAMOJA ILA SIO KAPIGA MIZNGAKALE KABINTI KALIOLEWA NDANI YA AJIRA GAFLA IKASITISHWA AKIKA AKAKAA KAMA MIEZI 7 BILA AJIRA AKAKAUTANA NA RAFKIE ANAJUANA NA MKURUGENZI MMOJA WA KAMPUNI ZA *******GAFLA WAKAKUTANA PAMOJA....NA MH BINTI KWA SHIDA ALIOKUWA NAYO AKAHAIDIWA USAFIRI WA KWENDA NA KUMRUDISHA NA MSHARA MZURI TU....JAMAA AKATOA MASHARTI MOJA YA KUPATA JOB NI KULIWA TUNDA LA e@#$%BINTI AKAONA AMSHIRIKISHE MUMEWE KWA HILI...MUME WANGU NIMEPATA AJIRA LAKINI KUNA HILI SWALI LA KUSHIRIKIANA BOSI ANATAKA KULA TUNDA LAKO NIFANYEJE.....UKIWA KAMA WE NI MUMEMTARAJIWA WA NDOA KAMA HII EMBU JITWIKE ZIGO PILI NAKUPONGEZA MAMA KWA KUMSHIRIKISHA MUMEO HILI INGAWA SIRI YAKO NA YANGU KAMA ALISHAKULA MZIGO AMA LA MUME ANAPELEKEWA KAMA USHAHIDI ACOMFIRM......JmNI NDOA
Nimeshindwa kusoma - tafadhali rudia kuandika!
Arudie vipi na yeye ndio kamaliza hapo,inawezekana mtoa mada ni mzanzibar.
Hivi, tuition za kiswahili - kuandika, zinapatikana wapi?
Watu wengi wana tatizo la kuandika kwa ufasaha. Utakuta mtu anadharau utumiaji wa NUKTA, NAFASI na hata kuandika kwa kifupi au kuandika neno isivyo. Hii inachangia mtu kupata tabu sana anaposoma topic haina vituo, nafasi na maneno yameonganishwa-unganishwa. Mfano hapa kuna maneno MIZNGAKALE, MSHARA, MUMEMTARAJIWA, au sentensi BINTI MMOJA ALIBAHATIKA KUWAHI KUOLEWA NA KAHENDISAM KAMOJA ILA SIO KAPIGA MIZNGAKALE KABINTI KALIOLEWA NDANI YA AJIRA GAFLA IKASITISHWA AKIKA AKAKAA . . . ni ngumu kumuelewa mtu kwa kuandika hivi
Arudie vipi na yeye ndio kamaliza hapo,inawezekana mtoa mada ni mzanzibar.
............za simuBINTI MMOJA ALIBAHATIKA KUWAHI KUOLEWA NA KAHENDISAMU KAMOJA ILA SIO KAPIGA MIZNGAKALE KABINTI KALIOLEWA NDANI YA AJIRA GAFLA IKASITISHWA AKIKA AKAKAA KAMA MIEZI 7 BILA AJIRA AKAKAUTANA NA RAFKIE ANAJUANA NA MKURUGENZI MMOJA WA KAMPUNI ZA *******GAFLA WAKAKUTANA PAMOJA....NA MH BINTI KWA SHIDA ALIOKUWA NAYO AKAHAIDIWA USAFIRI WA KWENDA NA KUMRUDISHA NA MSHARA MZURI TU....JAMAA AKATOA MASHARTI MOJA YA KUPATA JOB NI KULIWA TUNDA LA e@#$%BINTI AKAONA AMSHIRIKISHE MUMEWE KWA HILI...MUME WANGU NIMEPATA AJIRA LAKINI KUNA HILI SWALI LA KUSHIRIKIANA BOSI ANATAKA KULA TUNDA LAKO NIFANYEJE.....UKIWA KAMA WE NI MUMEMTARAJIWA WA NDOA KAMA HII EMBU JITWIKE ZIGO PILI NAKUPONGEZA MAMA KWA KUMSHIRIKISHA MUMEO HILI INGAWA SIRI YAKO NA YANGU KAMA ALISHAKULA MZIGO AMA LA MUME ANAPELEKEWA KAMA USHAHIDI ACOMFIRM......JmNI NDOA
kabla mtego haujafanikiwa unakuta jamaa kashammega wife viwili vya fastaaaa, nania anataaka mambo hayo banaaTopic yake inaeleweka nyinyi.
Hiyo bwana ni rushwa ya ngon live binafsi ninge piga 113 kwa dr.hoseh tumwekee mtego wa rushwa.
tusaidiane wakuu kunyoosha pale palipo pinda nadhani mnajua tena uswa wa lugha hii adhimu ya kiswahili
haufanani katika kuiandika
Arudie vipi na yeye ndio kamaliza hapo,inawezekana mtoa mada ni mzanzibar.
Arudie vipi na yeye ndio kamaliza hapo,inawezekana mtoa mada ni mzanzibar.