Morning glory | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Morning glory

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Jan 27, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,082
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  HALELUYA!!!HALELUYAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  BWANA ASIFIWE WATU WA MUNGU LEO HII ASBH NINAO UJUMBE MWEMA MAISHAN MWAKO
  NAO NI

  LINDA SANA KINYWA CHAKO

  NdUGU MPENDWA KINYWA NI KIUNGO KIDOGO SANA LAKINI MATATIZO YAKE NI MAKUBWA MNO
  DAUDI ANAWEKA HILI WAZII.....KIINYWA NI SEHEMU AMBAYO INAWEZA ARIBU MAISHA YAKO YOTEE
  KUPITIA KINYWA
  ---WATU WANALEWA
  --WANATUKANA
  --WANAVUNJA NDOA ZAO
  --WATU WANAKANA WAKE/WAUME ZAO
  NI WAKATI MWINGINE TENA LEO HII NDUGU MPENDWA TUNAITAJI KUBADILIKA ,BADILII KINYWA CHAKO
  BIBLIA INASEMA KINYWA KINATOA MAUTI AMA UZIMA...UNACHOSEMA NDICHO KITAKACHOFANYIKA
  NIKUPE MFANO MMOJA NINA RAFIKI YANGU MMOJA TUKITOKA KAZINI TUNAKUENDAGA KULA PALE BREAKPOINT..ALIPOKUWA AKILA KUNA DADA MMOJA AKAWA AKIMWAMBIA AJAOA,,YUKO REAL INSUARANCE..YULE DADA AKAWA AKIMUULIZA MASWALI KAMA ANAUHITAJI MKUBWA WA NDOA NA KUHISI HUYU NIDE MUME KUTOKA KWA BWANA WANAOSEMAGA...NDUGU MPENDWA MAJUZI TU NILIANDIKA THREAD HAPA NILIKUWA MMOJA WA WAWAPATANISHI WA NDOA .HAPA WIKI ILIOPITA..HUYU BWANA TANGU AANZE KUSEMA AJAOA HANA MKE WALA MTOTO WAKATI ANA MKE NA MTOTO,

  ALIPOKUWA AKIFKA KWAKE MKEWE AKAANZA KUUMWA,GAFLA WAKAMPELEKA NJE KWA KAKA YAKEKUTIBIWA..ALIPORUDISHWA YULE MAMA AKAANZA KUWA HOI,..AKIKA NASEMA CHUNGA KINYWA CHAKO UOKOE ROHO YAKO NDUGU..ALIPOKUWA KWAKE AKIZIDIWA ANAPELEKWA HOSPITAL WAANASEMA MBONA ATUON UGONJWA..AKAAMUA KUKAA NA DADAKE APATE MSAADA SABABU YA JAMAA YUKO BUSY NA KAZI..AKIWA KWA DADAKE JAMANI NA KAZINI ANAENDA LAKINI AKIRUDI NYUMBAN SHIDA TUPU TUMBO LINAUMA..OOH NISHIKE HAPA..MWACHEN MUNGU AITWE MUNGU MAJUZI NIKAMWAMBIA TUMWITE MTUMISHI WA MUNGU AWAOMBEE...AKAAMUA KUMTAFUTA YEYE TUKIWA KWENYE MAOMBI AKAANZA KUMKEMEA PEPO KWA MZEE AKAANZA KUKEMEA ROHO ZA KUKATALIWA KWA TULE BINTI..AKAMWAMBIA YULE KAKA KUNA ROHO ULIOWAHI KUMKANA MKEO.....UNAITAJ WEWE MWENYE KUKIRI MAKOSA JAMANI NILIKIMBILIA CHOONI..MAANA HUYO PASTOR ALIMLETA MWENYEWE NA AKAANZA KUMWOMBEA YULE BINTI AKAANGUKA NA KUANZA KUTAPIKA VITU VYA AJABU...MWISHO WA SIKU YULE KAKA ALIMWOMBA RADHI MKEWE ALIWAHI KUPITIWA NA KUSEMA AJAOA..JAMANI HUYU MUNGU NI WA AJABU

  SO UNAONA KINYWA KINAVOLETA MADHARA..LEO HII MJOMBA WANGU NA MKEWE WAKO GOROFA KUBWA MOJA MAMA YA KWANZA BABA YA PILI...WATOTO YA TATU,,KINYWA KINAARIBU FUTURE YA MAISHA YAKO.....

  KUTPITIA KINYWA WATU WANAKNA WAKE WAUME ZAO NA KUTONGOZA WATU OVYO SI MAPENZI YA MUNGU..UNAITAJI KUKIVUVIA KINYWA CHAKO..BADILI MAISHA YAKO LEO MWOMBE MUNGU AFUNGUE KINYWA CHAKO KISEME MANENO YA MUNGU

  BIBLIA INASEMA UKIKUBALI NA KUTII UTAKULA MEMA YA NCHI KINYUME CHAKE UKIKATAA DUNIA ITAKUANGAMIZA..

  HESABU 14:28 YOYOTE MTAKAYOOMBA NAFSINI MWENU NITAKWENDA KUJIBU,,SO BARAKA NA LAANZA ZIKO VINYWAN MWETU..LEO HII WATU WANALALAMIKIA AJIRA,MAISHA MAGUMU UMASKINI VVUVIA KINYWA BAIBO INASEMA LETEN SHIDA ZENU TUSEMEZANE..ONGEA NA MUNGU MWAMBIE SHIDA ZAKO MWELEZE NINI UNAITAJI..PESA NA MAGARI..YOTE N MALI YA BWAANA WEWE WASUBIRI NINI

  WAPO WATU WANASALI KUOMBA MUNGU AWAFUNGULIE NANI MZINZI KANISANI..ANGALIA WEWE UTABAKI NA MAOMBI YAKO MPAKA MWISHO HUKU WATU WAKIPENYA KIMAISHA UNABAKI JAMANI NIMEACHWA MUNGU ANIONI AKUNA KINYWA CHAKO NDICHO KITAMLAZIMISHA MUNGU KUJIBU MAOMBI YAKO


  LEO HII KUNA MASECRETARY WANAJIITA WAMEOKOKA..ANAKUJA MTU ANA SHIDA ZAKE ANAITJ KUMWONA BOSI ANADIRIKI KUTUMIA KINYWA KUSEMA AYUPO ANGALI AKIWA NDAN NA KIYOYOZI..MTUT ANA KAA NA CHEK YA MTU OFISINI HALI BOSI AMESAINI UKIULIZA UNASEMA BADO AJASAINI...NA MAOFISI MENGI TU MAFFAILI YANAFICHWA NA MENGINEO..UNAWEZA AKUONA KITU KIDOGO LAKINI MADHARA YAKE NI MAKUBWA..ONA HAO JUU JAMAA ALIPOTAKA KUACHANISHWA NA MKEWE JE ILE DHAMBI ALIOMKANA MWANAE INAMRUDIAJE???

  ISAYA 6

  ANASEMA NIKAINUA MACHO YANGU NIKAONA..MNAITAJIKUMWOMABA MUNGU AINUE MAHO YAKO AKUONYESHE NURU YA MBINGUNI...

  MARKO 1:23
  UTAPOKEA ULISCHOSEMA KAMA UMEONGEA UNAJISI TAAJIA KUPOKEA NAJISI..WATU WENGI LEO WANAALIMIWA HABRI ZAKO MAMBO VIPI ,,YAAANNI WE ACHA SHIDA TUPU NDUGU YANGU NAKWAMBIA SHIDA ZITAKUFWATA MPAKA UZAO WAKO UISHE...KILE UNACHOTAMKA..WATCHOUT..UNAMPIGA MWANAO UNAANZA KWA MATUSI HILI TOTO ***** SANA JINGA KABISA..AKIWA DARASANI AMEKUWA UNALALAMIKA AFAULU MTIHANI AFAULU WAPI WAKATI ULISHAMBATIZA ***** NA RAHA YA ***** ZEZETA.....

  MITHALI 12:14

  TUMBO LA MTU LITAJAZWA YALE YANAYOTOKA KINYWANI MWAKO
  MITH 18:6
  MITH6:2
  TUMIA KINYWA KUTANGAZA UTELE ACHA KUOMBA UJINGA BABA KTK JINA LA YESU NAOMBA ILE RAV4 OOH GOD MWAMBIE MUNGU NAITAJI ULISHAAMBIWA PESA NA MALI NI YA BWANA WEWE KUFANYA YANAYOMPENDEZA ILI BARAKA ZA BWANA ZIMWAGIKE

  YOH 1:14
  MUH 5:6
  USIACHE KINYWA CHAKO KIHARIBU MWILI WAKO,,ACHAKUTONGOZA OVYO ILI UZINI KUMBUKA NI HEKALU LA BWANA USIARIBU HEKALU LA MUNGU UTADHIBIWA..

  LUK19:22-HUKUMU YA KINYWA
  ISAYA 51:6
  MWZ 1:6-11

  NDOA NYINGI LEO ZINAKUFA NA KUSAHAULIKA KUTOKANA NA MANENO WALIOTOA KANISANI...NITAKUPENDA NA KUKUTUNZA KWENYE SHIDA NA RAHA MPAKA KIFO
  NI VIGUMU KUELEWA HILO NENO KUMBUKA KABLA YA KUOA AMA KUOLEWA WAPO WANAOSALI
  MUACHANE HATA KESHO YAKE UNAPOKIRI KWENYE SHIDA NA RAHA MUNGU ANAACHIA SHIDA MNATENGANA KIDOGO KAMA SI KUACHANA KABISA...ULISEMALO NAFSINI MWAKO NDILO UTAKALOJIBIWA

  HATA KAMA YAMEKUKUTA KWENYE NDOA FUTA HILI NENO..KAA NA MUMEO MWAMBIE NTAKUWA NA WEWE KWENYE RAHA NA UZIMA..TANGAZA BARAKA MUMEO ANARUDI USIKU UNALIA KWA MUNGU UNALIA NINI WAKATI ULISHASEMA UTAKUWA NAE KWENYE RAHA NA SHIDA HIZO NDIZO SHIDA..WENGINE WANACHUKUA RAHA WANAACHA SHIDA

  BADILIKA MPENDWA TUREKEBISHE VINYWA VYETU TUSITUMIE KUWATESA WATU MAOFISINI NASEMA WEWE UNAESOMA...TENGENEZA HEKALU LA BWANA.....

  MUNGU AKUBARIKI TUKUTANE TENA KESHO NA MORNING GLORY
   
 2. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #2
  Jan 27, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ubarikiwe sana mpendwa
   
 3. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #3
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mmhh ndefu hiyoooo????
   
 4. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #4
  Jan 27, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Thanks so much mpendwa, at least someone is reminding us of Godly things. Naomba every morning ukiweza uwe unaweka hapa haya mambo, au mods wangetuwekea sehemu maalum kwa ajili ya morning glory ili tukumbushane yale yatupasayo kufanya kwa ajili ya Bwana.
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Jan 27, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  ndefu nini?mhhh
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,082
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  amen mpendwa
  bwana amenifungua kuja kupeana mambo tunayotakiwa kuishi kwa ajili ya bwana kuanzia leo ntakuwa hapa naomba maombi yako nipate network isikatike mara kwa mara ubarikiwe mno
   
 7. NILHAM RASHED

  NILHAM RASHED JF-Expert Member

  #7
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  si hiyo apo juu au kwako imekuja nusu???
   
 8. M

  Msindima JF-Expert Member

  #8
  Jan 27, 2011
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Be blessed.
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,082
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  ndoa nyingi leo zinakufa na kusahaulika kutokana na maneno waliotoa kanisani...nitakupenda na kukutunza kwenye shida na raha mpaka kifo
  ni vigumu kuelewa hilo neno kumbuka kabla ya kuoa ama kuolewa wapo wanaosali

  muachane hata kesho yake unapokiri kwenye shida na raha mungu anaachia shida mnatengana kidogo kama si kuachana kabisa...ulisemalo nafsini mwako ndilo utakalojibiwa

  hata kama yamekukuta kwenye ndoa futa hili neno..kaa na mumeo mwambie ntakuwa na wewe kwenye raha na uzima..tangaza baraka mumeo anarudi usiku unalia kwa mungu unalia nini wakati ulishasema utakuwa nae kwenye raha na shida hizo ndizo shida..wengine wanachukua raha wanaacha shida

  badilika mpendwa turekebishe vinywa vyetu tusitumie kuwatesa watu maofisini nasema wewe unaesoma...tengeneza hekalu la bwana.....

  mungu akubariki tukutane tena kesho na morning glory

  watanzania wenzangu embu tuombe ufahamu kwa hili...nimekuja kuona hata tukiweka vyam mia vya kusuluhisha ndoa zetu kama tuna maagano ni ngumu kutoka shida..haya maagano ndio yanawafanya watoto wetu wanekwenda kulalia vitanda vya guest tulizotumia miaka kadhaa..wewe umeokoka lazima ujikane ufute hati za maagano ya guest..fanya mapping ya maisha yako ukifanya mchezo mwanao atatunguliwa pale pale sinza ulipomtungulia mtoto wa watu nakwambia sali sana vua maagano...angalia ni wapi nimekosea...hili la shida na raha wengi wanakosa jibu lakini rud nyuma ulisemaje..na amuwezi wote mkakimbilia shida ama raha ukichagua raha mwenzako anabaki na shida..ukienda kwenye shida mwenzi anabakii na raha kazi kwako..sijui watoto mnawaachia nini zaidi ya kuwatunuku nembo za guest house mlizopitia ujanani....

  Kesho usiache kuwanami fanya mapping ya maisha yako leo hii..umeamka asbh hata kumshukuru mungu unakimbilia tumbo chai chapati maharage asbh huo ni ulafi ...unaambiwa na wazazi msile mahaarage sana usiku matokeo yake shida wanazipata waliolala pemben yako huu ni uovu kwa nini uwatese wenzio...ona siri ya mbinguni mpendwa nataman kuona jf ikiwa mbinguni yoote yamkini umekorofishana na nani.....chagua sasa
   
 10. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #10
  Jan 27, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ni kweli kabisa uyasemayo pdidy, na uzuri ni kwamba bado tunayo neema, ni neema hii hii itupayo nafasi ya kutubu, kuvunja maagano na kuyaweka sawa yote tuliyoyafanya vibaya huko nyuma, hebu na tuitumie neema hii tuliyonayo. barikiweni nyote.
   
 11. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #11
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  oooh lord!wat a wonderful msg!ubarikiwe sana,,asante kwa kunikumbusha kuwa kwa vinywa vyetu tunalaani na kwa kinywa hicho hicho tunabariki,,bless u abanduntly
   
 12. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #12
  Jan 27, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Naomba unibariki kwa kinywa chako
  Usitumie kinywa chako kunotongoza tafadhali,
   
 13. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #13
  Jan 27, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hahaha!kama neno linavyosema utabarikiwa mashambani na utabarikiwa mijini,,na iwe kwako siku zote,amina.
   
 14. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #14
  Jan 27, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,082
  Likes Received: 5,556
  Trophy Points: 280
  Be blessed in your bussiness
  in your financial
  in your marital bliss
  in your carrrier
  blesssssssseeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeedddddddddddddd in JESUS NAME
   
Loading...