Adolf Hitler Jr
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 340
- 262
Hivi nyanshiki unamuangalia kijuu-juu eh??Huyu angekuwa bongo angekuwa bado hajatoka, Nyanshiki kidoogo
hao wasanii uliyowataja hawaingii hata top 20 katika wasanii wa bongoUnamfaham Nyanshisk wewe, unawajua sauti soul wewe...
Tutolee huo uchafu.
mkuu unaonekana unafatilia sana mziki wa bongo but no one like fid q in east africa huyu jamaa hachana nae kabisa usije kuchekwaUnazungumzia Kenya nchi anayotoka rapper bora afrika Kaligraph Jones? Role model wa young killer,Roma, sholobwenzi stamina,fid q
Mm ni mbongo mzee, tena pure, Ngosha namkubal lakin hagus kwa huyu jay z wa bara la afrika. Khaligraph Jones ni habar nyingine aseemkuu unaonekana unafatilia sana mziki wa bongo but no one like fid q in east africa huyu jamaa hachana nae kabisa usije kuchekwa
uyo msaniii hagusi kwa fid q mkuu huyu kiumbe ni moto ile mbayaMm ni mbongo mzee, tena pure, Ngosha namkubal lakin hagus kwa huyu jay z wa bara la afrika. Khaligraph Jones ni habar nyingine asee
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Hii ndio upuzi sitakangi. Wapwani wa Kenya wana kiswahili kitamu kushinda hao wabongo unaowashobokea hapa. Kiswahili kilianza pwani mwa Kenya. Soma vitabu vya historia.Wakenya wanaiba mziki wetu wa BongoFlava taratibu,
Yani huyo anaimba Bongoflava pure kabisa. Kaiga kuanzia kiswahili hadi Mashairi.
Ukiskiliza unaweza ukafkiri Kama underground wa Bongo kumbe mkenya
Wewe unatetea utanzania, mm natetea muzik. Fid q mwenyewe role model wake ni khaligraphuyo msaniii hagusi kwa fid q mkuu huyu kiumbe ni moto ile mbaya
Mh hapo ktk kusema Role Model umeharibu, Fid Q katoka(established) kabla ya hao wote uliowataja.Kaligraph kwa huku Tanzania anawashukuru sana Nikki Mbishi na Songa kwa kum introduce huku na ushahidi wa video upo do your research.Kaligraph utakuwa umemjua baada ya yeye kuanza kufata trend na Fid Q hafati trend za sasa sanaMm ni mbongo mzee, tena pure, Ngosha namkubal lakin hagus kwa huyu jay z wa bara la afrika. Khaligraph Jones ni habar nyingine asee
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
otile msanii mdigo sana sidhani kama itafaa kumlinganisha na msanii kama mbosso kidogo nyashi naweza kumuweka katika level flan kutokana na ukongwe wakeCurrently, Kaligraph Jones ndie rapa bora east Africa, Sauti Sol ndio kundi bora la muziki east Africa na pia Nyanshiski anazidiwa na wakali wachache wa hapa bongo.
Kusema Otile brown ndie mkenya pekee anaejua mziki ni kuongopa!
I would choose Nyanshiski over Otile anytime!
Papaa Jones yuko poa ila unakosea sana kuwataja wakina Fid na kusema Jones ni role model wao. Fid Q ameanza game huyo khaligraph ata studio aja ingia. Roma na Fid q hawawezi kusema role model wao ni Khaligraph ila ni mtu ambae wana kubali kazi zake na wamesha fanya kazi pamoja. Role model wa young killer ni Fid QUnazungumzia Kenya nchi anayotoka rapper bora afrika Kaligraph Jones? Role model wa young killer,Roma, sholobwenzi stamina,fid q
Write your reply...Maskini Otile ,vera katoa uja uzito wake,,,angetafuta level yake kama Elizabeth Michael na hamisa mobeto maana hadhi yao ya chini tu lakini Vera level nyengine aise.....