Mkenya: Waafrika Wamelaaniwa

Rio Shabazz

JF-Expert Member
Jan 18, 2024
1,334
2,169
Mkenya mmoja anaeishi Ulaya kwene interview ameeleza kua waafrica wamelaaniwa. Nayy kuwa mweusi haimfanyi kusema ukweli kwamba waafrica wanalaaana Hii ndio maana katika nchi za waafrica hamna kinachoendelea

Ameenda mbali akidai

Yy akiwa marekani Yuko hatarini kuuliwa na mwamfrica (mmarekan mweusi) mwenzie zaidi ya mweupe.

Wamarekani weusi ndio wanaongoza kutoa mimba marekani kuliko jamii nyingine za wazungu ,na watu wa Asia.Hii inamaanisha waafrica wanachukia sana waafrica wenzao ambao hawajazaliwa.

Je we mtazamo wako ni nini katika hili??

Tazama video chini
 
IMG_4974.jpg
 
Watu weusi hawana laana yoyote, asilaumiwe yeyote kwamba amelaani hiki kizazi.

Tatizo/matatizo ya watu weusi yanatokana na nature. Hivi viumbe bado viko kwenye kipindi cha mpito kutoka mnyamapori kwenda binadamu.
Bado sana huyu kiumbe kuweza kujitawala au kutawala.
Kwenye hili kundi akitokea kiongozi ambaye anajaribu kufanya yanayostahili kufanwa na binadamu....wanamuua!

Watawaliwe tena(miaka itakayoondoa hii hali) tukiwa tunasubiri hicho kipindi cha mpito kiishe.
 
Mkenya mmoja anaeishi Ulaya kwene interview ameeleza kua waafrica wamelaaniwa. Nayy kuwa mweusi haimfanyi kusema ukweli kwamba waafrica wanalaaana Hii ndio maana katika nchi za waafrica hamna kinachoendelea

Ameenda mbali akidai

Yy akiwa marekani Yuko hatarini kuuliwa na mwamfrica (mmarekan mweusi) mwenzie zaidi ya mweupe.

Wamarekani weusi ndio wanaongoza kutoa mimba marekani kuliko jamii nyingine za wazungu ,na watu wa Asia.Hii inamaanisha waafrica wanachukia sana waafrica wenzao ambao hawajazaliwa.

Je we mtazamo wako ni nini katika hili??

Tazama video chini
Sasa kama yeye nae kalaaniwa inakuwaje watu wanamsikiliza huyo mwenye laana?
 
Watu weusi hawana laana yoyote, asilaumiwe yeyote kwamba amelaani hiki kizazi.

Tatizo/matatizo ya watu weusi yanatokana na nature. Hivi viumbe bado viko kwenye kipindi cha mpito kutoka mnyamapori kwenda binadamu.
Bado sana huyu kiumbe kuweza kujitawala na kutawala.
Akipatikana kiongozi ambaye anajaribu kufanya yanayostahili kufanwa na binadamu....wanamuua!

Watawaliwe tena(miaka itakayoondoa hii hali) tukiwa tunasubiri hicho kipindi cha mpito kiishe.

shida wanazidi kupungua hawa viumbe
 
Historia ya watu weusi ime kua pinpointed to Africa
Ni kweli.ila kwa sasa hao sio waafrika. Maana waliokuwa waafrika halisi ni mababu zao.wa enzi na enzi.ndo maana Black America ukimuuliza Africa kwenu nchi gani hajui.hao wameshajenga utamaduni wao,wana maisha yao tofauti na misimamo tofauti na sisi.ukiacha undugu wa kibinadamu.hao sio ndugu zetu.black America na African people ni watu wawili tofauti kabisa.japo wana asili moja
 
we tunaongelea uafrica hatuongelei Uraia !!

muingi akiwa raia wa marekani haimaanishi kua siyo muhindi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom